Nimeshindwa kumwelewa Magufuli kwa hili

hana jipya amebaki kuimba "alimselema hadija......ccm selemaaa as if ni wimbo wa taifa au ndio sera ya chama chao
 
Mgiriki....mimi nahishimu mawazo yako.Kama nambar one aliona Magufuli ni nyenzo safi ya kufanya kazi,ni kitu gani kilimfanya asimpe u waziri mkuu hasa pale kauli ya piga tu ilipotolewa.....???na baadae aje amteuwe kupeperusha bendera ya Chama tawala kama alivyofanya.Unajuwa kumuacha Pinda na Bilal bado kuna ma alama mengi ya kuuliza.Je nitakuwa sahihi kusema CCM haijafanya chochote tanga tupate uhuru kwa sababu tingatinga lilikuwa halipo...sasa limepatikana tuna anza moja. ...baada ya miaka 50,kweli tutafika....???? Marando hebu ingia hapo mahakamani tuone matokeo yake.
 
Kweli unahitaji ongeza uwezo wako wa kufikiri, unapotuma maombi ya kazi huwa unaenda tangazia umati kwamba umeomba kazi? Ila unapoipata ile kazi waliokuajiri ndio wanaokuzungusha ndani ya ofisi na wadau wa nje kukutambulisha. Kwani ulidhani maana ya kutambulishwa kwa wananchi ni nini? Ulitaka akipata uraisi nao atumikie kimya kimya? Kama huwezi fikiria mbele ya hapo basi hata kwa picha hutaelewa. Tuendelee, ukawa mtakuna sana vichwa mwaka huu.
 
mkuu kwan mtu anayetakiwa kupeperusha bendera lazma awe wazir mkuu au makam wa raisi?

Utambue kuwa anayechagua mtu wa kupeperusha bendera sio raisi bali ni ile kamat yao.

Sasa wao waliona mzee wa pwan kaboronga ikabidi waangalie ni mtu yupi anayeweza kuivusha Tz hapa ilipo n mtu gani asiye na masihara ktk utendaji jibu likaja ndio huyo.
 
sasa kulikuwa na maana gani kutangaza kwenye mikutano kwamba nilichukua fomu kimyakimya?
 
mkuu kwan mtu anayetakiwa kupeperusha bendera lazma awe wazir mkuu au makam wa raisi?

Utambue kuwa anayechagua mtu wa kupeperusha bendera sio raisi bali ni ile kamat yao.

Sasa wao waliona mzee wa pwan kaboronga ikabidi waangalie ni mtu yupi anayeweza kuivusha Tz hapa ilipo n mtu gani asiye na masihara ktk utendaji jibu likaja ndio huyo.

KIONGOZI:Unataka kuniaminisha kuwa Magufuli hakuwa chaguo la Mwenyekiti wa CCM.....
 
mkuu unataka kujifanya hujui? Au unanidodosa tu kwakuwa upo upande wa pili?

Nimekulewa vizuri saana.Inaelekea tunaongea lugha moja au lugha zinazofanana kama kiarusha na kimasai au kichagga na kimeru au kipare na kitaita nk...nk
 
hahahaaa.. Kwaheri mkuu tutaonana pale mjakuja
 
hicho ndio kinakuumiza?
Mpigie simu umuulize

kwani alilazimishwa kuchukua fomu kimya kimya!? ina maana wale waliochukua fomu kwa mbwembwe nyingi kama anazofanya leo hawafai!?
 
Habari Ndg wana jf.

Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mgombea urais wa CCM ndugu Magufuli.Kila akipita kwenye mikutano yake utasikia "Nilichukua fomu kimya kimya, nilitangaza nia kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya na nikatafuta wazamini kimya kimya." Hivi kwa kusema hivi anamaanisha nini?

Mbona sasa anatumia nguvu kubwa kujitambulisha!? Kwanini sasa asijitambulishe kimyakimya kama kweli anaamini kwenye ukimyakimya!? Kwenu wadau.
Labda ni shabiki wa J Mo na Ngwair-kwani ni copy and paste ya wimbo wao: Kimya Kimya
 
Tingatinga haliwezi kufanya kazi mpaka liendeshwe,,, sasa hili litaendesha na nani? Au na wale aliokuwa nao kwenye mchakato wa kumpata wakiwa Kimyakimya!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom