Nimeshindwa kumwelewa Magufuli kwa hili

Tingatinga haliwezi kufanya kazi mpaka liendeshwe,,, sasa hili litaendesha na nani? Au na wale aliokuwa nao kwenye mchakato wa kumpata wakiwa Kimyakimya!!

kwa magufuli dah! bora ccm wangesimamisha jiwe.
 
Achana na galasa hilo..jitu zima lina kazi ya kuimba imba abisereema badala ya kuongea mambo ya maana
 
kwa magufuli dah! bora ccm wangesimamisha jiwe.

acha dharau mkuu, huyo magufuli n sawa na baba yako au hata amemzidi sasa kwann unamtolea maneno ya dharau hayo wakat uwezo wa huyo baba yako anaweza kulishwa na tingatinga magufuli kwa miaka 20?
 
acha dharau mkuu, huyo magufuli n sawa na baba yako au hata amemzidi sasa kwann unamtolea maneno ya dharau hayo wakat uwezo wa huyo baba yako anaweza kulishwa na tingatinga magufuli kwa miaka 20?

* Unamjua dereva wa tingatinga magufuli?
 
yule namhurumia ni JK type hawezi pambana na CHADEMA kwenye mdahalo hata siku mpja. Mdahalo lazima uwe unajua kupanga maneno yule hamna mpango wa maneno hata kidogo

Huyu hawezi kukubali mdahalo. Atavuliwa nguo dakika 5 baada ya mdahalo kuanza.
Chadema wana leverage kubwa sana kuhusu jamaa.
 
Habari Ndg wana jf.

Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mgombea urais wa CCM ndugu Magufuli.Kila akipita kwenye mikutano yake utasikia "Nilichukua fomu kimya kimya, nilitangaza nia kimya kimya, nikarudisha fomu kimya kimya na nikatafuta wazamini kimya kimya." Hivi kwa kusema hivi anamaanisha nini?

Mbona sasa anatumia nguvu kubwa kujitambulisha!? Kwanini sasa asijitambulishe kimyakimya kama kweli anaamini kwenye ukimyakimya!? Kwenu wadau.

Hata huko anapita kimya kimya!
 
Kama anaweza kupangilia kazi haina shida, bado hujashiba maneno tu mkuu?
yule namhurumia ni JK type hawezi pambana na CHADEMA kwenye mdahalo hata siku mpja. Mdahalo lazima uwe unajua kupanga maneno yule hamna mpango wa maneno hata kidogo
 
Na wewe muelewe kimya kimya, halafu mpigie kura kimya kimya ili ashinde kimya kimya na ushindi sherekea kimya kimya ili ikulu aende kimya kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom