Nimeshindwa kuelewa hili jambo

Mwafwaa

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
452
239
Nimesikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa wa Dsm, mhe. Makonda na ya Kamishina wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za kulevya, mhe. Sianga. Katika nyakati tofauti kila mmoja kazungumzia hatima ya mtumiaji wa dawa za kulevya.

Mhe. Makonda:- Watu wanasema nakosea kumkamata muathilika wa dawa za kulevya na selo sio mahala pake bali katkika Sober house. Kwa kuthibitisha anachofanya ni sawa alitaja sheria inatomruhusu kumfunga mtumiaji wa dawa hizo hadi kiasi cha miaka 3 jela (siikumbuki vzr hyo sheria na mwaka)

Mhe. Sianga:- Ukimfunga mtumiaji wa dawa za kulevya utamsababishia maumivu makali na hata unaweza pelekea kifo hivo ni lazima mimi na kamati yangu tushirikiane na Sober house kumpa matibabu mtu huyu (muathilika wa dawa).

Ambacho sielew wakuu!! ni je kila mheshimiwa kati ya hawa ana sheria yake inayomuongoza na haiko wazi kwa wote? Au ni mtu unafanya jambo kutokana na kichwa kinavyokutuma?
 
Tushawazoea Hao, hawana umoja kila mmoja ni Master wa kulopoka apendacho.
 
Back
Top Bottom