Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,982
- 67,618
- Thread starter
- #21
Karukwa na kichaa
Yah
Karukwa na kichaa
Hapo shida ni Avatar yako [emoji23]
Sasa mwana maombi umekimbia ofisi Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichaa hakosei habaatishi wanaona mengi utakuwa una nguvu za giza ndani yako
Alipata msaada kama bado njoo inboxHabari,
Nimeshikwa uchawi na jirani yangu!
Hilikuwa hivi nimetoka zangu nyumbani naenda dukani nakutana na jirani mwingine ananiambia nenda kwa g amechanganyikiwa tena, nenda kamuombee (nina karama ya maombi kiasi chake hila sio mtakatifu sana ni huruma ya Mungu tu). Basi mimi kufika pale namkuta mgonjwa ndio anaombea watu.
Nikasema naomba nipite, kuingia ndani huyo mgonjwa ndio akaropoka toka hapa mchawi mkubwa wewe toka, mh nikastuka ikabidi nitoke. Ila pale watu wamechukulia kweli mimi ni mchawi ndicho kinachoniuma.
Ila baadae kuja kuchunguza kumbe amechanganyikiwa, baada ya kukataa kwenda kwao uchagani kusalimia kwahiyo imebidi wamrudishe uchagani.