Nimeshikwa pabaya - wakuu naomba msaada tutani!

huo mji hakuna mswahili anaejuana na huyu rafiki yako huku akakusaidia kuelezea hii ishu vizuri, najua frnd wako kwa sasa ana hacra sana na wewe lakini angepata mtu tofauti na wewe kumwelezea haya mambo na kumpa ukweli wenyewe nadhani akili yake ingefikiri mara mbili.
 
pole kwa matatizo ila no one can hide the truth my brother,one day itakuja kugundulika ukweli uko wapi so just take it easy,mwana udsm solidarity forever and reveolution for changes
 
Asante kwa ushauri.

Mwambie jamaa kuwa mkewe atakaporudi achukue pubic hair akazipime DNA, zikiwa na DNA za jamaa basi atajua kuwa kweli wamepakuwa wengine, ila zikionekanika za kwako ....poleeeeeee
 
Mwambie jamaa kuwa mkewe atakaporudi achukue pubic hair akazipime DNA, zikiwa na DNA za jamaa basi atajua kuwa kweli wamepakuwa wengine, ila zikionekanika za kwako ....poleeeeeee

Hii tekonolojia ni ya yule sheikh wa magomeni?:confused2::confused2::confused2:
 
Time will tell....
Halafu hii defense mechanism ya kina dada inakera....yaani hata akikulengesha ukachomoa basi anasingizia kutongozwa...:mad2::mad2:

kaka ebu toa maelezo ya kujitosheleza apa plsssssssssssss
pls roy sema kwa marefu tena ukiwa wima npate kukuelewa kidogo japo ati..........hahaahahah!!
 
kaka ebu toa maelezo ya kujitosheleza apa plsssssssssssss
pls roy sema kwa marefu tena ukiwa wima npate kukuelewa kidogo japo ati..........hahaahahah!!

Hehehee....tuliza mzuka basi....
Chukulia kesi hii....dada anaogopa kwamba utamsemea kwa jamaa yake kuhusu tabia yake (labda ya kujilengesha kwako au mwingine)...sasa ili kukuziba mdomo (au kukufanya usiaminike)....:mad2::mad2:...
Ila we si hauko hivo eh??:confused2::A S 8:
 
Deodat kweli inauma pole,kitabu changu ninachokiamini huniambia"Ukweli utaniweka huru",nami nakuambia ndicho kitakachokusaidia kwa sasa though ,nadhani mbinu uliyopewa ya kuwatumia waTz wa huko ni nzuri zaidi kwani ukimweleza wewe kwa sasa atasema kwanini hukumwambia b4 pia atakuliza kama uliplay part yako katika kumshauri kutokujiattach na huyo jamaa.
 
Kaka wala usijihukumu kwa issue ambayo haikuhusu, wema uliofanya usikubali kulipwa lawama, kama kweli una uhakika kuwa hujamtongoza huyo wife wa rafiki yako, why dont you tell him A-Z aamue mwenyewe kusuka au kuchana? Be wise, unless utuambie kwamba na wewe ulishachakachua hapo!! ciao
 
Hii tekonolojia ni ya yule sheikh wa magomeni?:confused2::confused2::confused2:

Soma Forensic Crime or Medicine utaelewa ushauri wangu ni wa kisayansi na accurate zaidi kuliko huyo shehe wako wa magomeni
 
Kaka wala usijihukumu kwa issue ambayo haikuhusu, wema uliofanya usikubali kulipwa lawama, kama kweli una uhakika kuwa hujamtongoza huyo wife wa rafiki yako, why dont you tell him A-Z aamue mwenyewe kusuka au kuchana? Be wise, unless utuambie kwamba na wewe ulishachakachua hapo!! ciao

Hakuna haja ya kumwambia. Ukweli utajulikana very soon. Ni kwa sasa jamaa atulie tu. Kama keshamwambie kuwa hahusiki na jamaa kang'ang'ania basi hakuna haja ya kusumbua akili hapo. Kwani ukweli utalipuka muda si mrefu.

Hata hivyo huyo jamaa mwenye mume atakuwa na mtindio wa ubongo. Ukweli ni kwamba watu wanaotongozwa hawasemi. Na wakisema basi kuna tatizo. Ilibidi hapo tu achanganye na zake ili akamate mgoni wake badala ya kukibiza kivuli.

Achana naye, atakuja kukupigia magoti siku moja endapo hatajinyonga!
 
Mwambie jamaa kuwa mkewe atakaporudi achukue pubic hair akazipime DNA, zikiwa na DNA za jamaa basi atajua kuwa kweli wamepakuwa wengine, ila zikionekanika za kwako ....poleeeeeee

Tafadhali tupe shule zaidi.

Sikuwahi kuwa kuhisi kwamba ukitembea na mtu unapanda nywele zako kwake. Hebu fanya fanya utupe huu ujuzi mpya.
 
Tafadhali tupe shule zaidi.

Sikuwahi kuwa kuhisi kwamba ukitembea na mtu unapanda nywele zako kwake. Hebu fanya fanya utupe huu ujuzi mpya.

Ni kitu rahisi sana kwani ukigusana na mwenzio sehemu yoyote ya mwili basi wewe huacha DNA zako sehemu hiyo na hazipotei asilani,

Uses of DNA in Criminal Investigations:

1. Identifying remains
2. Provides a Record of a particular person
being in a particular place
3. Ownership of personal items such as clothing
4. Determining Kinship
 
pole sana mdau, ni vizuri ukitafuta pia na picha za wapenzi hao ambazo zitaprove wana mahusiano hlf umtumie huyo mume wake.
 
Deodat;
Ningekushauri pia kisirisiri umpe rafiki yako contacts za simu za watanzania wawili au watatu ; najua sababu shemeji yako, mume wake hayupo kule, watakuwa wameshaji-expose ki-aina to the extent ambayo nina shaka kama kuna mtanzania yeyote asiyejua nini kinaendelea kati ya wawili hao. Awapigie simu na watamweleza aelewe. Hasa ungejaribu kutumia wale wa kike, hasa wale walioko kwenye maisha ya ndoa na wanaishi na waume zao huko

Hilo nalo neno!
 
pole sana mdau, ni vizuri ukitafuta pia na picha za wapenzi hao ambazo zitaprove wana mahusiano hlf umtumie huyo mume wake.

Hili nalifanyia kazi, nataka ni-establish evidence beyond doubt! Thanks!
 
MWambie jamaa cha ukweli na stay away from them unless otherwise kama na wewe uliomba mzigo
 
kwani ukimweleza wewe kwa sasa atasema kwanini hukumwambia b4 pia atakuliza kama uliplay part yako katika kumshauri kutokujiattach na huyo jamaa.

Na hili ndilo mshikaji (rafiki yangu) analong'ang'ania kuwa kama nilijua kwanini sikutangulia kumwambia. Ukweli ni kwamba sikutaka kukurupuka katika kumtaarifu jamaa hasa ukizingatia najua kuwa anamppenda sana mkewe.
 
Mwambie jamaa kuwa mkewe atakaporudi achukue pubic hair akazipime DNA, zikiwa na DNA za jamaa basi atajua kuwa kweli wamepakuwa wengine, ila zikionekanika za kwako ....poleeeeeee

Hii iko kisayansi zaidi, I appreciate!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom