Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

jitahidi upige signature kwenye mbunye. Hiyo wiki tatu tu ya kumuwaza ni kipindi kirefu
Demu mwenyewe majanga, anadai mke wa mtu ila tunachati masaa 24, mara anipigie simu saa 7 usiku, siku nyingine saa 10 alfajiri yaani wiki tatu hizo mambo yaliotokea kama miaka mitatu
 
Demu mwenyewe majanga, anadai mke wa mtu ila tunachati masaa 24, mara anipigie simu saa 7 usiku, siku nyingine saa 10 alfajiri yaani wiki tatu hizo mambo yaliotokea kama miaka mitatu
achana nae haraka sana mke wa mtu ni sumu. Mie nilidhani demu tu loose ball
 
Mkuu kumbe umewahi kukutana na kitu kama hicho
Bora tu niwaite shemeji, sitosahau siku moja demu nieenda nae guest, kumbe hana mpango wa kunipa gemu. Siku hizi wana mitindo yao wanapaka tomato sauce halafu anakwambia nipo mwezini kama unabisha anazama akitoa mkono lazima uaangalie pembeni, kumbe tomato sauce
 
Ndio maana nimetuliza mpira, hakuna kitu naogopa kama kutatuliwa linda
sio tu kutatuliwa marinda, kama mme wake akijua na kumuacha huyo mwanamke inaharibu sana ustawi wa familia ambayo wewe ndio utakuwa umesababisha malezi ya watoto yataharibika na kusababisha kizazi chenye chuki na maafa kwenye jamii. Dhambi ambayo utakuwa umesababisha wewe
 
Umenena mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom