Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Mm huwa situmi hela kwa Demu, huwa nawapa Cash..hii imenisaidia sana coz lazima waje ili niwape hela so before kuwapa lazima wafanye nnavotaka coz wakizingua wanajua safari yao inaweza kuwa Bure..

Enewei; Mkuu toa hela upate papuchi otherwise Dettol itakuhusu
 
Habari wana jamvi?
Wiki mbili nilikuwa natoka mkoa jirani, nilikaa na mdada mmoja.

Kwa kuwa mi domo zege ila nikaona leo ngoja nijitoe mhanga na demu akanielewa. Ila toka siku huyo hajanipa gemu kila siku matatizo tu mara amefiwa, mara mama yake anaumwa, mara mwanangu amelazwa, mara nani kapata ajali matukio yote hayo anasafiri mi sijampa chochote zaidi ya pole.

Siku moja nae akajitoa muhanga kwamba hana nauli ya kurudia na akirudi anataka afike kwangu tulalae wote, mi nikamtangazia dhiki kuliko ya kwake akabaki analalamika. Hadi leo ananitumia sms tu mie nimeuchuna naona anataka anipige tu.
Sasa mi natangaza wazi nishapigwa sana kipindi cha nyuma, unatoa hela papuchii hupati.

Kwa sasa utoe mzigo kwanza ndio upate sentii yangu
Wewe ungemwacha aje getto ungemaliza kabisa ndo uzame mfukoni.
 
Mi siku hizi huwa sitaki ujinga baada ya kupigwa sana, mwezi uliopita kuna demu aliniagiza nimnunulie simu ya laki 4, siku nilifika tukakubaliana tukutane guest ila nimuahidi sitofanya chochote nikaona poa akili kichwani, siku tumekutana ila akkawa anasisitiza tusifanye chochote huku anarembua rembua macho, simu kaipenda kaichaji akanza niomba nimpige picha katika pozzi mbali mbali za kimahaba hapo hela bado hajanipa. Nikaona huyu nikifosi gemu ntapata ila laki 4 ndio itaenda na maji, nikakomaa na ahadi hadi anataka kuondoka ndio kanipa hela akiwa mlangoni na toka siku hiyo hataki hata kuongea na mimi
 
Awamu hii ya jiwe ukikataliwa shukuru usilaum, maana dollar imepanda na shiling ineporomoka....

Hata wale first class wa night clubs bei ineporomoka mbaya, short time 30 kwa sasa wanatoa round hata kwa 10.
 
Habari wana jamvi?
Wiki mbili nilikuwa natoka mkoa jirani, nilikaa na mdada mmoja.

Kwa kuwa mi domo zege ila nikaona leo ngoja nijitoe mhanga na demu akanielewa. Ila toka siku huyo hajanipa gemu kila siku matatizo tu mara amefiwa, mara mama yake anaumwa, mara mwanangu amelazwa, mara nani kapata ajali matukio yote hayo anasafiri mi sijampa chochote zaidi ya pole.

Siku moja nae akajitoa muhanga kwamba hana nauli ya kurudia na akirudi anataka afike kwangu tulalae wote, mi nikamtangazia dhiki kuliko ya kwake akabaki analalamika. Hadi leo ananitumia sms tu mie nimeuchuna naona anataka anipige tu.
Sasa mi natangaza wazi nishapigwa sana kipindi cha nyuma, unatoa hela papuchii hupati.

Kwa sasa utoe mzigo kwanza ndio upate sentii yangu
Endelea kukaza hivyo hivyo. Uzoefu unaonesha kwamba wanaohudumia wanawake wa aina hiyo huishia kupata maumivu tu. Wanaokula papuchi hawahudumii sana. Niamini mimi
 
Kweli mkuu kuna kipindi nilikuwa namuhudumia demu mmoja, nikuuliza utakuala nini mpenzi leo naniambia ngoja ntakuambia, kumbe anawasiliana na bwana ake anataka kula nini, akimtajia anachojisikia kula ndio ananiambia bebi leo nataka ugali kuku choma
 
Hawana maana hawa viumbe. Akikuomba omba sana mchane live mwambie siwezi kuhudumia wakati sijaona ndani. Akizingua temana nae atakuja tu mwingine. Pengine mzuri kuliko yeye japo k ni ile ile
 
Bora tu niwaite shemeji, sitosahau siku moja demu nieenda nae guest, kumbe hana mpango wa kunipa gemu. Siku hizi wana mitindo yao wanapaka tomato sauce halafu anakwambia nipo mwezini kama unabisha anazama akitoa mkono lazima uaangalie pembeni, kumbe tomato sauce
Ungelamba kiduchu ili u-prove kama ni tomato sauce au damu
 
Hiyo hoja yako ya papuchi kwanza ulimpa taarifa au unajiwazia tu mwenyewe? mpe taarifa ajue ili mjue mnafanyaje sio kuja kulialia JF wakati unaonekana ni domozege kupitiliza (yaani kama unatakiwa uende Mbezi wewe unapitiliza mpk Kibaha
 
kaombwa elf 10 tu mpaka kaja kuianzishia thread... angeombwa laki? si angeenda kituo chochote cha polisi kilicho karibu nae
Hahahahahah nako kuhonga kipaji asee,
kuna mchizi nilikuta anampa demu minoti kama analipia bili ya oxygen inayotumiwa na familia yake yote......kumbe alikuwa anahonga.
 
halafu akiombwa na mama yake anasema hana kitu...
 
Hiyo hoja yako ya papuchi kwanza ulimpa taarifa au unajiwazia tu mwenyewe? mpe taarifa ajue ili mjue mnafanyaje sio kuja kulialia JF wakati unaonekana ni domozege kupitiliza (yaani kama unatakiwa uende Mbezi wewe unapitiliza mpk Kibaha
Yaani usawa huu acha niwe domo zege tu mkuu, unajua wengi tu wanapigwa ila hapa jukwaani kila mtu anajifanya yeye mjanja,
 
Hiyo hoja yako ya papuchi kwanza ulimpa taarifa au unajiwazia tu mwenyewe? mpe taarifa ajue ili mjue mnafanyaje sio kuja kulialia JF wakati unaonekana ni domozege kupitiliza (yaani kama unatakiwa uende Mbezi wewe unapitiliza mpk Kibaha
\Sasa mtu keshakwambia mwanae kalazwa utaomba papuchii au itabidi mtoto atibiwe kwanza, hivi mtu anamgonjwa we ukikomaa na K tu si utaonekana hamnazo
 
sasa mbona siku aliyotaka kuja kwako ukazingua nauli? piga kwanza mzigo kwa gharama halafu baadae unakula bure. Mwanzo siku zote ni mgumu
 
Ah hiyo safari alikuwa anatoka kuzika shemeji yake alipata ajali ya pikipiki, na ajali imetokea siku tuliyopanga tutinduane, sasa mpaka hapo mi nilishabaini hizo sida zote ni za uzushi tu, alitaka hela tu ndio maana nikagoma kutoa. mkuu mi nna mikasa mingi ndio maana sasa hivi wapigaji nawabaini mapema
 
mna muda gani huko nae toka umemtongoza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom