Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Bora tu niwaite shemeji, sitosahau siku moja demu nieenda nae guest, kumbe hana mpango wa kunipa gemu. Siku hizi wana mitindo yao wanapaka tomato sauce halafu anakwambia nipo mwezini kama unabisha anazama akitoa mkono lazima uaangalie pembeni, kumbe tomato sauce
duh. yaani anajitoa ufahamu na anakubali kuingia kwenye chumba cha gesti hauzii huku anajua yupo period. na mimi najitoa ufahamu na muamba ruty.
 
Yaani ishu nikwamba wakuu, tunapanga siku ya kukutana, siku moja kabla usiku ananipigia simu anasema hawezi kuja kwa sababu amaepata matatizo moja kati ya hayo hapo juu. Sasa nyinyi wataalam niambie nicheze mchezo gani hapo?
tuma pesa...
 
umenikumbusha kipindi nilipigwa buku 5 akidai nauli haaa haaa akataka tena nipiga nikambwambia akope akija nitamrejeshea haaa
Yaani ukitoa mara moja anaomba nyingine, ila gemu hatoi, tena bora aje unaweza ambulia hata mate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom