Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Nimeshapigwa sana sasa basi inatosha

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,765
Habari wana jamvi?
Wiki mbili nilikuwa natoka mkoa jirani, nilikaa na mdada mmoja.

Kwa kuwa mi domo zege ila nikaona leo ngoja nijitoe mhanga na demu akanielewa. Ila toka siku huyo hajanipa gemu kila siku matatizo tu mara amefiwa, mara mama yake anaumwa, mara mwanangu amelazwa, mara nani kapata ajali matukio yote hayo anasafiri mi sijampa chochote zaidi ya pole.

Siku moja nae akajitoa muhanga kwamba hana nauli ya kurudia na akirudi anataka afike kwangu tulalae wote, mi nikamtangazia dhiki kuliko ya kwake akabaki analalamika. Hadi leo ananitumia sms tu mie nimeuchuna naona anataka anipige tu.
Sasa mi natangaza wazi nishapigwa sana kipindi cha nyuma, unatoa hela papuchii hupati.

Kwa sasa utoe mzigo kwanza ndio upate sentii yangu
 
Habari wana jamvi?
Wiki mbili nilikuwa natoka mkoa jirani, nilikaa na mdada mmoja.
Kwa kuwa mi domo zege ila nikaona leo ngoja nijitoe mhanga na demu akanielewa. Ila toka siku huyo hajanipa gemu kila siku matatizo tu mara amefiwa, mara mama yake anaumwa, mara mwanangu amelazwa, mara nani kapata ajali matukio yote hayo anasafiri mi sijampa chochote zaidi ya pole. Siku moja nae akajitoa muhanga kwamba hana nauli ya kurudia na akirudi anataka afike kwangu tulalae wote, mi nikamtangazia dhiki kuliko ya kwake akabaki analalamika. Hadi leo ananitumia sms tu mie nimeuchuna naona anataka anipige tu.
Sasa mi natangaza wazi nishapigwa sana kipindi cha nyuma, unatoa hela papuchii hupati. Kwa sasa utoe mzigo kwanza ndio upate sentii yangu
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😀
 
Watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji
Bora tu niwaite shemeji, sitosahau siku moja demu nieenda nae guest, kumbe hana mpango wa kunipa gemu. Siku hizi wana mitindo yao wanapaka tomato sauce halafu anakwambia nipo mwezini kama unabisha anazama akitoa mkono lazima uaangalie pembeni, kumbe tomato sauce
 
kaombwa elf 10 tu mpaka kaja kuianzishia thread... angeombwa laki? si angeenda kituo chochote cha polisi kilicho karibu nae
Nimeshaliwa sana, sasa hata demu aombe mia mbili simpi, bila kunipa gemu kwanza
 
hahahaha.... pambana mkuu toa hela upate papuchi

ukiwa mbahili sana chaputa watakuletea registration form
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom