Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

muda unasubiri bei ishuke mara mtoto anaumwa mara michango ya harusi basi niweke benki au ktk simu mara tozo mara makato ya mwezi tunapigwa kotekote mkuu.

Sasa sera ambayo haijali wananchi alisimia 90% Wakifa poa tu.

Utaipa jina gani, michango tafadhari mimi nasema nilisema ni use.nge na sio personal issue,ni kwa serikali. natafuta neno kali zaidi labda limetulia. Maoni wadau.
 
Acha uongo mkuu kwamba pc 1=tsh.41,346? Kwamba bando 1 ni zaidi ya 600k? Mbona mkoani bei ni hiyo 27,000 kwa PC?
Mleta mada ameenda Kiwandani kakutana na bei mpya, wala usishangae. Wewe upo mkoani, hiyo ni akiba ya zamani, subiri yakiisha madukani ndo bei itapanda.
 
Na sababu za kupanda bei hizi hapa 👇



 
cement kwa kiasi kikubwa tunazalisha hata mabati tunayo ya kwetu
acha kua mbishi , malighafi zinatoka nje

bati,malighafi ni coil ,inatoka China na Japan
zile Aluminium blocks, zinatoka china na india
cement, malighafi ni limestone na marl, inatoka China

bila malighafi utazalisha mkojo
 
acha kua mbishi , malighafi zinatoka nje

bati,malighafi ni coil ,inatoka China na Japan
zile Aluminium blocks, zinatoka china na india
cement, malighafi ni limestone na marl, inatoka China

bila malighafi utazalisha mkojo
Kwenye cement Hapana, Kinachotoka nje kwa viwanda vingi hapa TZ ni spare peke yake. Limestone etc vyote vipo hapa kwetu. Kuna baadhi ya viwanda huwa mara moja moja wanaagiza clinker kutoka nje (Twiga, camel etc). Na ndio maana katika huu mfumuko wa sasa wa bei Cement haijapanda bei. Ila mpaka January nina uhakika bei itapanda
 
acha kua mbishi , malighafi zinatoka nje

bati,malighafi ni coil ,inatoka China na Japan
zile Aluminium blocks, zinatoka china na india
cement, malighafi ni limestone na marl, inatoka China

bila malighafi utazalisha mkojo

Chakula, mafuta, bei za vifurushi, pia vinatoka China sio, Ndio maana bei zimepanda?
 
Bei alizotaja ni uongo ,bei halisi ni hizi hapa


View attachment 2021781
Leta bei ya leo ya kiwandani sio kipande cha gazeti tena kinachomnukuu unknown! Na tangu lini bati ya rangi ya gauge 30 iliwahigi kuuzwa 18,000? Umejenga kweli?
0752 290 043 namba hiyo ya Marketing stafff wa sunshare uliza uelimishwe!
Nmekuwekea na bei za bati hapo chini za mwezi Oktoba kutoka kiwandani.
 
Limestone kwa ajili ya cement iko hapa hapa TZ. Sasa wewe bisha tu!
Your right mkuu! Malighaf zote za cement znapatikana hapa hapa hata hiyo clinker kiwanda kama twiga wanazalisha wenywe wana furnaces za kutosha za kuzalisha.
 
Bati Gauge 30, kwa mita ni 13782 kwabati lafutikumi aumitatatu ni 13782×3 = 41,000 duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…