Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

Bati ya migongo midogo ya futi 10 upana wa bati cm 90 (migongo 12)....kampuni Sunshare
Bati la msauzi hiyo bei naweza kuamini..Mshikaji wangu kanunia G30 Bati upan 90cm futi 10 kwa 34k. Kwa sasa siwezi bisha. Zile za versatile zilikuwa 37k mwaka jana.
 
Huna akili, negative maana kwamba mtu akienda kuweka mafuta analipwa ama? I hate kujenga hoja na dumb ass kids...

Niambie unachokijua
Utajua hakuna unachojua, kipindi cha corona bei ya msfuta ghagi ilifikia-negaitve!

Shida ilikuwa ni kusimamisha uzalishaji wa mafuta ni gharama zaidi na wakati huo huo visima ( tank) vya kuhifadhia mafuta ghafi vilikuwa vimejaa"

Huko duniani ilibidi wapunguze stock kwa kulipia kiasi cha pesa!

Wakati huo sisi tuliuziwa mafuta 1600@lt.!
 
Leo nimefanya window shopping kwenye moja ya kiwanda kikubwa cha mabati nimeshangazwa sana kukuta bati zimepanda bei sana! Sijui tunaelekea wapi na nn hatma ya hili.

Bati ya gauge 30 leo hi ni TZS 41,346 wakati miaka miwili nyuma bati hyo hyo ilikua TZS 27,000....Hata kama ni inflation hi kiboko na nadhani zitazidi kupanda.
66
 
Wapi huko mkuu,Tanzania hii au Ni Burundi? Bati gauge 30 limepanda kutoka 18,000/= Hadi 22-25,000/=, hii Bei yako ya 41,000/= kwa gauge 30 imeanza lini?
Usibishe, nenda sokoni.

Mwezi mmoja nyumba viwandani Kama bati bomba, tantu, snowbati ziliuzwa 23,000 gage30 saivi zinauzwa 29,000 kiwandani, je mtaani Bei gani?

Bati 28gage, nyeupe simba dumu mtaani Dar inauzwa wastani wa 35,000 kwa pisi.

Na viwanda vyote vina uhaba wa bati wengine wamefunga kwanza.
 
Shida iko wapi wakati kuna demokrasia? Tutaezekea demokrasia...hatutaki maendeleo ya vitu (by zitto mkigoma)
Kwani demokrasia inahusikaje na biashara?

Shida hii hapa 👇

Screenshot_20211213-065227.png


Screenshot_20211213-065533.png


Screenshot_20211213-065435.png


Screenshot_20211212-223321.png


Screenshot_20211212-222910.png


Screenshot_20211212-223019.png


Screenshot_20211212-223341.png


Screenshot_20211212-222430.png


Screenshot_20211212-222515.png


Screenshot_20211212-222618.png


Screenshot_20211212-222649.png
 
Usibishe, nenda sokoni.

Mwezi mmoja nyumba viwandani Kama bati bomba, tantu, snowbati ziliuzwa 23,000 gage30 saivi zinauzwa 29,000 kiwandani, je mtaani Bei gani?

Bati 28gage, nyeupe simba dumu mtaani Dar inauzwa wastani wa 35,000 kwa pisi.

Na viwanda vyote vina uhaba wa bati wengine wamefunga kwanza.
Sababu zimeshaelezwa ni inflation ya Dunia tunakoagiza raw materials na kupanda Kwa shipping costs, sababu zote ni out of our control.
 
Unaongea vitu hata huvijui mwaka Jana Bei ya mafuta Marekani ilifikia Hadi negative ila Tanzania Bei ilibaki kuwa kubwa!

Wiki iliyopita nilikuwa Kenya so naongea ninachokijua acha kuleta taarifa zako za vitini.

Nenda Malawi hapo kaulizie Bei ya mafuta ya petrol ni shilingi 1,600 kwa lita 1. Leo Tanzania Ni tsh 2,400. Kwanini Bei iwe kubwa TANZANIA tu ? Hadi Burundi Petrol Bei ni chini. Sijui unazungumzia dunia ipi Bei ya mafuta ni kubwa.

Nyie ndio mkipewa nyadhifa mnaendesha nchi kipumbavu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Bongo bei ya mchongo! Ifikie mahali mafuta yangeondolewa charges zote ukiachilia tu kodi!

Yale makorokoro mengine yafidiwe na Tozo😎 maana tozo imekaa kijanja janja sana serikali inatengeneza hela nyingi mno kupitia Tozo hizi ambazo hawataki hata kutoa report ya makusanyo yake.
 
Back
Top Bottom