Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

Mmesikia Waziri wa Viwanda Bw. Kitila na tume ya ushindani wakati wa taarifa ya habari ITV usiku huu?
 
Mmesikia Waziri wa Viwanda Bw. Kitila na tume ya ushindani wakati wa taarifa ya habari ITV usiku huu?
Alikua anapiga tu siasa!
IMG_20211124_200723.jpg
 
Nimesoma report kutoka mwananchi, kumbe shida inaanzia china, nao wana miradi mikubwa kiasi kwamba export ya materia ya chuma imepunguzwa, kwa hiyo tujipange siku ngumu zinakuja mbeleni dont expect hizi price zishuke paap!
Acheni uongo bana, kila kitu kimepanda bei sio tu hivyo vinavyotoka china.
Au unataka kusema hadi mchanga nao unatoka china?
 
Bro mimi hadi ujenzi imebdi nisimame kwanza maana sielewi chief. Alaf ujue zilikuwaga 15,000 ujue....yani juzi tu hapo around july 2021 zilikua 18,000
yaani suala la kusitisha ujenzi na lenyewe ni pasua kichwa mana unaweza kusema bei zitashuka lkn badala yake ndo zikazidi kupanda..au zikabaki kama zilivyo hlf pesa yako ya ujenzi ukawa ushailia mpunga na maharage...
 
Vipi kuhusu mafuta, mbolea, vifurushi, chakula. Wachina nao wanahusika?
Wengi akili zao zinategemea kulishwa na education, media na uobgo mwingine toka serikalini huko, hawana akili na ku think big kuweza kutofautisha which is fantasy na which is reality!
 
Yote ni mfumuko wa bei, huwezi ku control mfumuko wa bei kiurahisi kwa sababu mnyororo unaosababisha kutokea mfumuko wa bei ni mkubwa sana unahusisha sector nyingi sana ndani na nje ya nchi

Nikupe mfano, nchi nyingi zilikuwa zimejuifungia hamna uzalishaji wa kutosha kuanzia kwenye, mazao, uchimbaji madini kama chuma na aluminium, mafuta, viwanda n.k now wanajifungulia unadhani hali itakuwaje?
Unaijua Hidden Tax? Au umekariri kutokana na kulishwa matango pori kwenye Economix
 
Kwamba gazeti la Mwananchi sio reliable source? Na wewe jichekeshe ukipenda..

Umeweka bei ya kiwandani hapo sasa hiyo bei kwa retailer inazidizi 27,000-28,000 kwa PC?
Sasa kama unalazimisha bei za gazeti la Mwananchi na wanaume wenzako wanaleta hoja with Facts, nenda basi ukanunua huko kwenye gazeti lako hilo. Shwain we!!
 
Shida iko wapi wakati kuna demokrasia? Tutaezekea demokrasia...hatutaki maendeleo ya vitu (by zitto mkigoma)
 
Back
Top Bottom