johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,925
- 141,891
Kiukweli Iringa ina wajasiriamalia wengi sana na kwa makadirio ya haraka wanazidi hata laki moja.
Kilichonishangaza ni kitendo cha mkoa wa Iringa kushika nafasi ya 23 kati ya mikoa 26 ikiwa imetoa takribani vitambulisho16000 kati ya vitambulisho 60000 walivyokabidhiwa.
Sasa mchungaji Msigwa ambaye ni mbunge maarufu wa Iringa ameshindwaje kuwashawishi wajasiriamali akishirikiana na RC Happi na DC Kasesela?!
Yaani mkoa wa Iringa umekuwa wa 3 kutoka mwisho!!!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!