Nimeshangaa leo maji yamezidi unga

Nimeshangaa leo maji yamezidi unga

Mimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.
nahis huyapenda ma ova saizi
 
Mzee kacheza na lugha hapo
Wengi walitamani kusikia yanayoimbwa na wapinzani kutoka kwa Rais Mstaafu!

Wapinzani wanaona ukweli wa mambo jinsi nchi inavyoendeshwa na kutawaliwa kisayansi ( Rais aliyebobea kisayanasi) lakini hawawezi kusifia kamwe. Sababu wanaijua katika duru za kisiasa.

Ila 2020 wataisoma namba kama wataendelea na siasa za majukwaani badala ya kasi ya maendeleo ya Rais Magufuli, majimboni walikopata ushindi pamoja na kuhimiza ushirikiano.

Maneno maneno ya kunung'unika na kulaumu yamefikia mwisho wa kukera masikio, kwa maana kwa Rais Magufuli, na wanaomuunga mkono juhudi zake ni sawa na kelele za chura bwawani.

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
 
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.

Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuli amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.

Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.

Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Kufanya kazi bado sentensi tata kidogo, kwani hawezi maanisha kazi mbaya?
 
Msukuma na muswahili wapi na wapi. Muswahili siku zote hutumia uswahili wake kumpoteza au kumpotosha mshamba(msukuma)
 
hapana pale kaenda kumpa maneno maana anaona anaptea hvo usishangae kuona jina la kitabu zuri lakin kitabu chenyew ni kibaya.
Hata mm niliwaza hivyo hapaswi kumkandia hadharani..na ndio ethics zinavyosemwa.ht mimi siruhusiwi kumgombeza au kumkandia mfanyakazi mwenzangu mbele ya mgonjwa...namsifia then tukiwa chemba ni kichambo...
Ila namshamgaaa makonda
 
Akuna kiongozi atakayekuletea pesa nyumbani kwako au kwa wazazi wako omba mungu wako akufanyie wepesi katika miangaiko yako uku ukizidi kupambana kwa kufanya kazi si kuangalia uyu kafanya nini yule kafanya lipi utajikuta unazidi kupoteza mda wako uku mvi nazo zinaota pambana tuachane na siasaaa
 
Mimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.
In pres..voice.."We Sheria ngowi..nimesema MAMIKONO yawe MAKUBWA."
 
Nidhamu za kujipendekeza, haiwezekani mwaka mmoja ufunike kazi ya miaka 30 hatakama watangulizi wake walikuwa wazembe .
 
Nadhani ni mtazamo wake tu, pengine hao wengineo pia wana mitazamo yao
 
Nadhani Mzee Mwinyi huenda alikuwa akimaanisha kazi ya kuharibu nchi na kuwatesa watanzania.
Mzee Mwinyi ni mswahili, huwa ana misemo yake ya Nahau, na sisi werevu tumemwelewa.

Nahisi Mzee Mwinyi alienda Ikulu kumpa ukweli wa mambo mengi mabovu anayofanya Magufuli, na ili kulinda heshima ya rais wetu na hapo hapo kupotezea ili tusihisi kile alichokwenda kumwambia, ndio imebidi Mzee Mwinyi atokee kauli hiyo.
Kuntu.
 
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.

Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuli amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.

Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.

Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
hahahaha usishangae inawezekana anamwambia kwa kinyume.... mwinyui juzi kati si alisema usukani hakuna...
 
Mda mwingine unatakiwa kuwa makini sana na mswahili. Hapo kamsifia kwa methali ya zamani sana " kupata mafuta kwa mgongo wa chupa" ukitaka kuamini rejea kauli yake ya gari halina dereva
 
Maji yakizidi unga koroga uji unywe.siku zote nyuki hawezi kumuuma nyuki mwenzie.
 
Mkuu NTEGEYE jr
Haaa Wabhonye!!!
Mambo Ya Kigoma Nswa,Mkubi,Ntole,Nzembagiza,
YaaNi Chigoma Acha
 
Back
Top Bottom