Nimeshangaa leo maji yamezidi unga

Nimeshangaa leo maji yamezidi unga

NTEGEYE Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
322
Reaction score
286
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.

Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuli amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.

Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.

Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
 
nakweli kaweza kutusomesha namba kwa muda mfupi mno😀😀😀😀😀😀
 
Kwanza kazi alioifanya jpm kwa mwaka 1 haiwezi kulingana na miaka 30 ya maraisi 3, akiwemo yeye mzee mwinyi, sijui jpm alijisikiaje kuambiwa hivo!? Lakini mzee mwinyi ni mswahili na anajua kuzitumia nahau za kiswahili, kwa hawa wenzangu na mimi (wasukuma) kumwelewa ni shida sana, anajua wanapendaga sifa nae anapitia humohumo"
 
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.

Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuri amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.

Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.

Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
Mzee mwinyi Katia aibu wenzake. Eti jpm mwaka 1 sawa na 30 haya maajabu.
 
Nadhani Mzee Mwinyi huenda alikuwa akimaanisha kazi ya kuharibu nchi na kuwatesa watanzania.
Mzee Mwinyi ni mswahili, huwa ana misemo yake ya Nahau, na sisi werevu tumemwelewa.

Nahisi Mzee Mwinyi alienda Ikulu kumpa ukweli wa mambo mengi mabovu anayofanya Magufuli, na ili kulinda heshima ya rais wetu na hapo hapo kupotezea ili tusihisi kile alichokwenda kumwambia, ndio imebidi Mzee Mwinyi atokee kauli hiyo.
 
Mzee mwinyi katika ubora wake wa hali ya juu
Mjanja mjanja yule
 
yani mateso tuliopata kwa mwaka mmoja ni zaidi ya Yale ya miaka 30 iliopita
 
Kwanza kazi alioifanya jpm kwa mwaka 1 haiwezi kulingana na miaka 30 ya maraisi 3, akiwemo yeye mzee mwinyi, sijui jpm alijisikiaje kuambiwa hivo!? Lakini mzee mwinyi ni mswahili na anajua kuzitumia nahau za kiswahili, kwa hawa wenzangu na mimi (wasukuma) kumwelewa ni shida sana, anajua wanapendaga sifa nae anapitia humohumo"
Mkuu umenena vema..
Utamu wa lugha maneno na vijineno..
The most astonishing scenario msifiwa alisimama mbali na mtoa maneno...
Mhhh...
Tafadhali mie sina m7..
 
Hayo yanaitwa Mahaba Tasilimu au ana Haiba ya mahaba
 
Hakutaka tu kusema kuwa anayoyafanya JPM wao walishindwa na waliishia kujitajirisha tu.
 
Ukienda pale ni lazima umsifie tu vinginevyo utapelekwa kisongo ukakae na lema
 
Katika ziara yake Mzee Mwinyi kumtembelea rais leo baada ya mwaka mmoja, nimeshangaa sana baada ya Mzee ruksa huyu kummwagia sifa rais nyingi mno.

Mshangao wangu ulizidi pale aliposema kuwa rais Magufuri amefanya kazi kubwa kwa mwaka mmoja zaidi ya kazi walioifanya wao kwa miaka 30 yaani Mwinyi, Mpaka na Kikwete.

Hapo ndio nikahisi maji (mahaba) yamezidi unga maana sio sifa za kawaida labda kauli hiyo iwe na maana nyingine kinyume chake.

Kazi ya mwaka 1 = miaka 30? mmmh..!!
3.jpg

Rais Magufuli amefanya mkubwa bila kumuogopa yoyote yule,kitu ambacho toka Mwl hakuna aliyeweza kufanya hivyo na hiyo ndiyo maana yake

Na hasa kuongea ukweli na kuweka wazi na kuufanyia kazi instantly.
 
Hakutaka tu kusema kuwa anayoyafanya JPM wao walishindwa na waliishia kujitajirisha tu.
Wewe nae....!!! Mzee mwinyi ni tajiri? Huo utajiri unamlinganisha na nani? Nyerere, mkapa au kikwete?

Binafsi naona viongozi wanaotokea upande wa pili mara nyingi ni waadilifu, ukiachilia mbali huyu karume alieondoka juzijuzi, ona watangulizi wake, huku tunae mama samia. Pendaga sana yule mama"
 
Mzee Mwinyi na miaka yake tisini na ushee bado ana meno yote mdomoni ?

Dah kijukuu cha mtume hicho ...

Ila hizo sifa alizompa Magufuli ,nyuma ya pazia kuna jambo ameenda kumueleza ,kama sio vilio vya hawa jamaa zetu sijui
 
View attachment 438646
Rais Magufuli amefanya mkubwa bila kumuogopa yoyote yule,kitu ambacho toka Mwl hakuna aliyeweza kufanya hivyo na hiyo ndiyo maana yake

Na hasa kuongea ukweli na kuweka wazi na kuufanyia kazi instantly.
Mimi nalia na mafundi wa nguo wa ta pombe, hivi huwa anatuma msaidizi wake kupima au? check mikono na mabega. Please reception matters when it comes to our presider.
 
Mathematical treatment ina steps Nying mkuu
Labda n kwel 1n sawa na 30
 
Back
Top Bottom