Nimeshangaa kuwakuta CHADEMA Mpwapwa!

Nimeshangaa kuwakuta CHADEMA Mpwapwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,527
Mara kwa mara nimekuwa nikitembelea mji wa Mpwapwa na Kibakwe kwa shughuli za kilimo lakini sijawahi kuona dalili za uwepo wa CHADEMA wilayani humo.

Leo nimeona mtandaoni kuwa polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachadema wa Mpwapwa waliokuwa wanawasindikiza wagombea wao kuchukua fomu.

Ndiposa najiuliza ugogoni kuna CHADEMA?
Nimeshangaa kiasi!

2020 Hakunaga kama Dkt. Magufuli!
 
Kwahiyo ulizimiana kauli za mwenyekiti wenu kuwa CHEDEMA imekufa baada ya lijuakali kuomba kazi ya ufagizi lumumba?
 
Mkuu saizi hata vijiji vya ndani kabisa kuna upinzani achana na maeneo kama mpwapwa.


Chagua Hashimu Rungwe kwa maendeleo ya afya yako na familia.
 
[SUB]Kuna mashabiki wa chadema[/SUB]
 
Kuna wanachama, kuna mashabiki, kuna wapenzi kuna wale wanaopenda haki ( hawa wapenda haki ndio noma sana kwasababu wapo kila sehem, hadi sehem nyeti kabisa na wanaoperate kimyakimya. Mpenda haki humjii na ngonjera ikiwa ukweli anaujua.Haabudu chama wala kiongozi wa chama yeye anachoataka ni haki tu, ukitenda haki unakuwa rafiki yake, ukiikanyaga anakuchukia.
 
Back
Top Bottom