TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 441
- 496
Udom wako hovyo sana.....hata wahitimu wao wengi siwaelewi elewiUnefanya utafiti ukagundua wao ndio wanahusika na hiyo website.
Unefanya utafiti ukagundua wao ndio wanahusika na hiyo website.
Mkuu usishangae...sifa mojawapo ya sisi waswahili ni kukwepa ukweli.Unataka kusema wao hawahusiki na website yao wanahusika ni watu wengine?
Kama ndivyo hii itakuwa ni sawa na wanajeshi kuajiri kk security au masai walinde kambi ya jeshi.
Wasomi wa siku hizi bwana kila kitu tafiti.
2×2 unafanya kwa calculator
UDOM ina collage saba zote zinajitegemea kwa kila kitu labda nikuulize nani specific au collage gani unadhani iko responsible na swala hilo la website?Unataka kusema wao hawahusiki na website yao wanahusika ni watu wengine?
Kama ndivyo hii itakuwa ni sawa na wanajeshi kuajiri kk security au masai walinde kambi ya jeshi.
Wasomi wa siku hizi bwana kila kitu tafiti.
2×2 unafanya kwa calculator
UDOM ina collage saba zote zinajitegemea kwa kila kitu labda nikuulize nani specific au collage gani unadhani iko responsible na swala hilo la website?
Bado hujui uongozi unaenda vipi nakushauri kachukue prospectus ya UDOM , ukurasa wa 231 angalia direcctorate of ICT , Alafu wapigie simu namba zao zipo hapo pamoja na email utoe malalamiko yako hapo , najua kwakua unatokea secondary unadhani kila mtu anahusika na kila jukumu , kuna idara dogo, utawala wa chuo under directorate of ICT ndio wako responsible , jaribu kuwauliza tatizo ni nin sio unakurupuka tu, unavyoongea unadhani kama kuna siku walileta website hii hapa njooni mtengeneze wanafunzi.UDOM na viambata vyake
Jamaa anajimwambafai tuuBado hujui uongozi unaenda vipi nakushauri kachukue prospectus ya UDOM , ukurasa wa 231 angalia direcctorate of ICT , Alafu wapigie simu namba zao zipo hapo pamoja na email utoe malalamiko yako hapo , najua kwakua unatokea secondary unadhani kila mtu anahusika na kila jukumu , kuna idara dogo, utawala wa chuo under directorate of ICT ndio wako responsible , jaribu kuwauliza tatizo ni nin sio unakurupuka tu, unavyoongea unadhani kama kuna siku walileta website hii hapa njooni mtengeneze wanafunzi.
UDOM ina collage saba zote zinajitegemea kwa kila kitu labda nikuulize nani specific au collage gani unadhani iko responsible na swala hilo la website?
Mimi?Pole sana mkuu
Wewe jamaa nae sijui msomi wawapi!? Website ni ya UDOM afu wanaohusika unataka wawe TEKU!! Nimesoma nimemaliza mwaka Jana huko TIBA, UDOM Mambo ni vululuvululu tu....Unefanya utafiti ukagundua wao ndio wanahusika na hiyo website.
Ndiyo maana mimi nimeamua kuacha kubishana naye, jamaa hataki kuambiwa ukweli. UDOM wako hovyo.Wewe jamaa nae sijui msomi wawapi!? Website ni ya UDOM afu wanaohusika unataka wawe TEKU!! Nimesoma nimemaliza mwaka Jana huko TIBA, UDOM Mambo ni vululuvululu tu....
Nimefanya application kea mdogo wangu hapo...now ni mwezi ukilog in wanakwama INCORRECT USERNAME or PASSWORD!! She.nzi kabisaaa...Afu mtaani wanasifika sana kuwa wanatoa watu makini sana IT asa vitu vidogo Kama hivi wanazidiwa na ZION, tukisema ni wakata tunakuwa tunawaonea mkuu!??
Kwanin watu wakipata matatizo katika SR wanaelekezwa waende utawala wa chuo, ungukua umesoma hapo ungejua, acha kudanganya watu boga wewe, ulishawai kusikia wanaambiwa nenda college ya informatics wakarekebishe hilo tatizo.Wewe jamaa nae sijui msomi wawapi!? Website ni ya UDOM afu wanaohusika unataka wawe TEKU!! Nimesoma nimemaliza mwaka Jana huko TIBA, UDOM Mambo ni vululuvululu tu....