Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

Boss kuna awamu huwa ni free mkuu!mara nyingi huwa ni ya tatu usifikili kwamba ni mfumo hauko sawa. Mara ya kwanza nishawahi mfanyia mtu nikahisi hivyo, ila wakati mwingine(mwaka mwengine)ikawa hivyo hivyo kwa awamu hyo Boss.
UDOM nilifanya application kwa simu ikagoma. Vyuo vingine ikakubali,ikabidi niende Internet cafe. Mambo yakadunda walishindwa kunipa namba ya kulipia nikawa nasubiri najaribu mara kadhaa. Siku ya mwisho kupokea maombi nikasubmit bila kulipa. Na walinichagua
 
Unaweza kwenda kisoma kokote upendapo lakini kufananisha issue ya uwongozi na issue ya masomo ni ujinga kabisa , unaweza usielewe kwakua wewe bado mtoto wa sekondari, hata hiyo college of informatics haipo responsible na ku maintain hiyo website, website inakuwa maintained na wafanyakazi walio ajiriwa na chuo , wafanyakazi wanaweza kuwa walisoma chuo hapo au kutoka chuo chochote, swala la website ni issue ya server wala sio kwamba kuna ubovu wowote kwenye system, swala la system hiyo kuwa chini ya uwongozi linakuwa chini ya utawala , kumbuka chuo cha UDOM sio chuo cha IT tu, unaweza ukakuta mtu ambaye directorate of ICT wanaenda ku report hajui wala hana interest yoyote ya IT , inawezekana kabisa issue hiyo uwongozi ukawa unalijua lakini kuna watu ambao wako responsible na kupitisha bajeti na matumizi ya pesa za matumizi , hivyo kutupia lawama college kwa kosa la uwongozi huo ni ujinga kabisa .
Nilitaka kukuelewa,lakini toka naanza kukusoma kule juu unaandika UWONGOZI=UONGOZI. Unaweza ukawa uko vizuri,lakini ukaangushwa na mambo makubwa ambayo wewe umeyaona madogo. Uandishi huo,ndio wasomi wetu nyie
 
Boss kuna awamu huwa ni free mkuu!mara nyingi huwa ni ya tatu usifikili kwamba ni mfumo hauko sawa. Mara ya kwanza nishawahi mfanyia mtu nikahisi hivyo, ila wakati mwingine(mwaka mwengine)ikawa hivyo hivyo kwa awamu hyo Boss.
Sasa kumbe nilipewa free. Kuna mtu alinambia hivo lakini nikawa natia shaka,kama nimekubaliwa free kwanini option ya kulipa inaonesha sijalipa si ingeonesha free. Kumbe ningekata tamaa ningeacha nafasi bure
 
Nilitaka kukuelewa,lakini toka naanza kukusoma kule juu unaandika UWONGOZI=UONGOZI. Unaweza ukawa uko vizuri,lakini ukaangushwa na mambo makubwa ambayo wewe umeyaona madogo. Uandishi huo,ndio wasomi wetu nyie
katika maisha yangu nimeandika sana kwa kutumia english kuliko kiswahili hilo nalifahamu kwamba huwa inanitokea mara nyingi nachanganya herufi , kama unaweza kuangalia vizuri post zangu unaweza kuona mara nyingi huwa naandika sentensi ya kiswahili kwa kutumia structure ya kiingereza, ukweli ni kwamba naandika kwa kiingeraza sana kuliko kiswahili kitu kinachonifanya na changanya sana maneno ya kiswahili.
 
Naona wanazuoni mmkekutana sisi wa la saba tuliohitimu mwaka huu tuseme nini hatustahili hata kuongea nanyi tukiwa tumesimama
 
Nilidhani UDOM ni chuo bora sana katika mambo ya IT lakini kumbe nilikuwa najidanganya.

Ebu fikiria tangu mchakato wa kuomba vyuo uanze website yao ikaanza kugoma kufunguka, tukadhani ni tatizo la muda mfupi litarekebishwa lakini hadi leo hii TCU wamekwishafunga udahili website ya UDOM inazingua.

Tatizo hili lilikuwa kero sana kwa watu tuliotaka kupata A to Z kuhusu UDOM kabla ya kuomba kujiunga.

UDOM ni chuo kinachozalisha wahitimu wa IT, computer scientists, computer engineers na software engineers wa level zote za chini hadi masters, sasa nimepata mashaka na watoa elimu na utoaji wa elimu kiujumla wa UDOM inakuaje wanashindwa kutatua tatizo hilo?

Nimekivua vyeo chuo na kwa sasa hakina tofauti na Zion.
Mkuu wewe ndio una wenge, kama website inagoma kufunguka badilisha browser au device unayotumia. Jiongeze
 
Unajua first year udom 2019/2020 wamekuja na matranka, magodoro, magunia ya vyakula sare za shule na maudambu udambu kibao
Sogea kwa upepo wa kisulisuli jioneee kwenye huu uzi
 
huo ni uzalilishaji , hiyo ndio kitu inaitwa bullying, I hope uongozi wakukamate iliujue unalofanya ni uzalilishaji.
 
Back
Top Bottom