Jensen salamone
JF-Expert Member
- Sep 28, 2019
- 320
- 641
*Tanzania hii chuo kipo kimoja tu*
Katika vyuo ambavyo sitokuja kukaa kumshauli mtu asome ni UDOM
Hiki chuo tangu nianze kukisikia sijawahi kuona wala kusikia kuna vijana wameajiriwa kutoka UDOM kwenye ofisi yeyote ile sasa sijui tatizo ni nini
acha uwongo dogo tena wanakuja kuchukuliwa chuo hapa moja kwa moja mfano vijana wengi wa informatics wanafanya kazi serikali mtandao E government tena wanakuja kuchukuliwa moja kwa moja toka chuo hapa.Ninejibu kwamba hilo sio swala la kitaaruma maana utawala wenyewe umeajiri wafanyakazi ,sio wanafunzi kufanya hiyo kazi, hivyo kazi inayofanywa na uwongozi haina uhusiano na taaruma katika swala hilo.Kwa hizi comments zenu hata mimi ambae siijuh udom naanza kuelewa uelewa wenu mdogo saaana... Nyie watu.
Anaongelea mambo ya it.. Na it ipo hapo chuoni... Unasema usijaji taaluma kwa mambo ya utawala..
Sasa wapi kaongelea utawala.
Au haujajua utawala ni nin?
Yeye kaongelea mfumo wa technolojia uliotumika ni mbovu mno haukusukwa ipasavyo... Sasa iyo ni elimu au utawala,??
Utawala ni km angesema nilifika chuoni sijatekelezewa tatizo... Watumish wana dharau nk.
Au ingekuwa udom hakuna faculty ya it tungesema pengine utawala umezingua
Wengi wa wahitimu wa UDOM wamezidiwa na Wale wa MPOMABIVA UniversityUdom wako hovyo sana.....hata wahitimu wao wengi siwaelewi elewi
Chuo kibovu mwaka jana kilishinda mashindano ya vyuo vinavyofundisha sheria.View attachment 1237151
wnyewe huita kupruv..Unataka kusema wao hawahusiki na website yao wanahusika ni watu wengine?
Kama ndivyo hii itakuwa ni sawa na wanajeshi kuajiri kk security au masai walinde kambi ya jeshi.
Wasomi wa siku hizi bwana kila kitu tafiti.
2×2 unafanya kwa calculator
Punguza inferior complexity ... Kwenye huu Uzi wapi vimepondwa vyuo vingine!!Mliosoma UDSmM huwa mnajikuta watu bora sana kuliko sisi tuliosoma vyuo vya kizalendo. Na ukiangalia kwa undani utaona mafisadi papa wa taifa hili wamezalishwa na chuo kikuu cha Dar Es Salaam campus ya Mlimani.
Shame on you
Wewe upo darasa la ngapi ?Punguza inferior complexity ... Kwenye huu Uzi wapi vimepondwa vyuo vingine!!
Unakurupuka tu Kama ulikuwa unakunya kichakani huko nakuja kutype NOSENSE!!
Acha ujinga uliesoma chuo Cha kizalendoWewe upo darasa la ngapi ?
maana kwa majibu yako inaonekana hata form one hujafanikiwa kufika.
HahaaaSawa, we kivue cheo UDOM, halafu mimi nakushughulikia wewe kwa kukuvua pichu na kukushindilia mtalimbo.
sijawahi kusoma chuo cha ilimu dunia mimiAcha ujinga uliesoma chuo Cha kizalendo
Mkuu uko sahih! ila sio kila taasisi inatengeneza mfumo wake wenyewe kwa kutumia watu wa ndani, wengi huwa wanatafutwa wanapewa structure then wanaingia mzigoni, wakikamilisha huja na mfumo na hutoa mafunzo kwa wahusika wa pale jinsi ya kutumia na ku solve matatizo madogo.Likiwa kubwa hutatuliwa na wahusika wakuu.Nilidhani UDOM ni chuo bora sana katika mambo ya IT lakini kumbe nilikuwa najidanganya.
Ebu fikiria tangu mchakato wa kuomba vyuo uanze website yao ikaanza kugoma kufunguka, tukadhani ni tatizo la muda mfupi litarekebishwa lakini hadi leo hii TCU wamekwishafunga udahili website ya UDOM inazingua.
Tatizo hili lilikuwa kero sana kwa watu tuliotaka kupata A to Z kuhusu UDOM kabla ya kuomba kujiunga.
UDOM ni chuo kinachozalisha wahitimu wa IT, computer scientists, computer engineers na software engineers wa level zote za chini hadi masters, sasa nimepata mashaka na watoa elimu na utoaji wa elimu kiujumla wa UDOM inakuaje wanashindwa kutatua tatizo hilo?
Nimekivua vyeo chuo na kwa sasa hakina tofauti na Zion.