Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

TANZANIAN NINJA

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
441
496
Nilidhani UDOM ni chuo bora sana katika mambo ya IT lakini kumbe nilikuwa najidanganya.

Ebu fikiria tangu mchakato wa kuomba vyuo uanze website yao ikaanza kugoma kufunguka, tukadhani ni tatizo la muda mfupi litarekebishwa lakini hadi leo hii TCU wamekwishafunga udahili website ya UDOM inazingua.

Tatizo hili lilikuwa kero sana kwa watu tuliotaka kupata A to Z kuhusu UDOM kabla ya kuomba kujiunga.

UDOM ni chuo kinachozalisha wahitimu wa IT, computer scientists, computer engineers na software engineers wa level zote za chini hadi masters, sasa nimepata mashaka na watoa elimu na utoaji wa elimu kiujumla wa UDOM inakuaje wanashindwa kutatua tatizo hilo?

Nimekivua vyeo chuo na kwa sasa hakina tofauti na Zion.
 
Unataka kusema wao hawahusiki na website yao wanahusika ni watu wengine?
Kama ndivyo hii itakuwa ni sawa na wanajeshi kuajiri kk security au masai walinde kambi ya jeshi.

Wasomi wa siku hizi bwana kila kitu tafiti.

2×2 unafanya kwa calculator
Mkuu usishangae...sifa mojawapo ya sisi waswahili ni kukwepa ukweli.
 
Unataka kusema wao hawahusiki na website yao wanahusika ni watu wengine?
Kama ndivyo hii itakuwa ni sawa na wanajeshi kuajiri kk security au masai walinde kambi ya jeshi.

Wasomi wa siku hizi bwana kila kitu tafiti.

2×2 unafanya kwa calculator
UDOM ina collage saba zote zinajitegemea kwa kila kitu labda nikuulize nani specific au collage gani unadhani iko responsible na swala hilo la website?
 
naunga mkono hoja ,,,kuna dogo nili muapply certificate udom,,profile ikawa inamuonyesha congratulation amechaguliwa,,toka mwezi wa tisa walivyoachia matokeo lakini leo profile inaonyesha ujumbe mwingine amekosa nafasi,,,,pumbavu zao.....

nipo hapa najiaandaa nitamwambiaje ,,,,,,,pumbavu zao..............
 
UDOM na viambata vyake
Bado hujui uongozi unaenda vipi nakushauri kachukue prospectus ya UDOM , ukurasa wa 231 angalia direcctorate of ICT , Alafu wapigie simu namba zao zipo hapo pamoja na email utoe malalamiko yako hapo , najua kwakua unatokea secondary unadhani kila mtu anahusika na kila jukumu , kuna idara dogo, utawala wa chuo under directorate of ICT ndio wako responsible , jaribu kuwauliza tatizo ni nin sio unakurupuka tu, unavyoongea unadhani kama kuna siku walileta website hii hapa njooni mtengeneze wanafunzi.
 
Jamaa anajimwambafai tuu
 
Unefanya utafiti ukagundua wao ndio wanahusika na hiyo website.
Wewe jamaa nae sijui msomi wawapi!? Website ni ya UDOM afu wanaohusika unataka wawe TEKU!! Nimesoma nimemaliza mwaka Jana huko TIBA, UDOM Mambo ni vululuvululu tu....

Nimefanya application kea mdogo wangu hapo...now ni mwezi ukilog in wanakwama INCORRECT USERNAME or PASSWORD!! She.nzi kabisaaa...Afu mtaani wanasifika sana kuwa wanatoa watu makini sana IT asa vitu vidogo Kama hivi wanazidiwa na ZION, tukisema ni wakata tunakuwa tunawaonea mkuu!??
 
Ndiyo maana mimi nimeamua kuacha kubishana naye, jamaa hataki kuambiwa ukweli. UDOM wako hovyo.
 
Unaweza kwenda kisoma kokote upendapo lakini kufananisha issue ya uwongozi na issue ya masomo ni ujinga kabisa , unaweza usielewe kwakua wewe bado mtoto wa sekondari, hata hiyo college of informatics haipo responsible na ku maintain hiyo website, website inakuwa maintained na wafanyakazi walio ajiriwa na chuo , wafanyakazi wanaweza kuwa walisoma chuo hapo au kutoka chuo chochote, swala la website ni issue ya server wala sio kwamba kuna ubovu wowote kwenye system, swala la system hiyo kuwa chini ya uwongozi linakuwa chini ya utawala , kumbuka chuo cha UDOM sio chuo cha IT tu, unaweza ukakuta mtu ambaye directorate of ICT wanaenda ku report hajui wala hana interest yoyote ya IT , inawezekana kabisa issue hiyo uwongozi ukawa unalijua lakini kuna watu ambao wako responsible na kupitisha bajeti na matumizi ya pesa za matumizi , hivyo kutupia lawama college kwa kosa la uwongozi huo ni ujinga kabisa .
 
Wewe jamaa nae sijui msomi wawapi!? Website ni ya UDOM afu wanaohusika unataka wawe TEKU!! Nimesoma nimemaliza mwaka Jana huko TIBA, UDOM Mambo ni vululuvululu tu....

Nimefanya application kea mdogo wangu hapo...now ni mwezi ukilog in wanakwama INCORRECT USERNAME or PASSWORD!! She.nzi kabisaaa...Afu mtaani wanasifika sana kuwa wanatoa watu makini sana IT asa vitu vidogo Kama hivi wanazidiwa na ZION, tukisema ni wakata tunakuwa tunawaonea mkuu!??
Kwanin watu wakipata matatizo katika SR wanaelekezwa waende utawala wa chuo, ungukua umesoma hapo ungejua, acha kudanganya watu boga wewe, ulishawai kusikia wanaambiwa nenda college ya informatics wakarekebishe hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom