TANZANIAN NINJA
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 441
- 496
Nilidhani UDOM ni chuo bora sana katika mambo ya IT lakini kumbe nilikuwa najidanganya.
Ebu fikiria tangu mchakato wa kuomba vyuo uanze website yao ikaanza kugoma kufunguka, tukadhani ni tatizo la muda mfupi litarekebishwa lakini hadi leo hii TCU wamekwishafunga udahili website ya UDOM inazingua.
Tatizo hili lilikuwa kero sana kwa watu tuliotaka kupata A to Z kuhusu UDOM kabla ya kuomba kujiunga.
UDOM ni chuo kinachozalisha wahitimu wa IT, computer scientists, computer engineers na software engineers wa level zote za chini hadi masters, sasa nimepata mashaka na watoa elimu na utoaji wa elimu kiujumla wa UDOM inakuaje wanashindwa kutatua tatizo hilo?
Nimekivua vyeo chuo na kwa sasa hakina tofauti na Zion.