Nimesalitiwa vibaya

Nimesalitiwa vibaya

Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

Ni bora amekusaliti ukiwa hujamuoa.
Ingekuwa ndio anafanya mambo hayo akiwa ni mkeo nadhani ungeshachukua maamuzi mabaya.
Forget and move ahead, ingawa inauma.
 
Wala usijisumbue...:: mwache tu na she will regret.... Hao wavilana huwa hawaoi.... Anajiona Babu kubwa lakini hakuna kitu... Don't waste ur time ... It will not work....

Back
Top Bottom