Nimesalitiwa vibaya

Nimesalitiwa vibaya

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please
 
Hakuna kusalitiwa kuxuri, take it easy fanya kama vile umetoa sadaka then move forward, mbona hawakawii kurudi wenyewe hao! Kama unachoongea ni kweli basi take my word, she will come back one day yes on bended knee!!!!!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

Puuumbafuuuu, akili zimechoka saa hizi mtuhurumie nyi watoto mtatuuwa kwa pressure jamani vijana kazi yenu kulinda maboma sasa kwa mtindo huu nchi hii itasonga kweli?
Haya ushawahi kupiga kura nikushauri tatizo lako?
Jibu fastaaaa kabla sijakubaguwa!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please
Pole ndo ukubwa huo..Tenda wema nenda zako usingoje shukurani kaka huyo mwanamke si wako we songa mbele tu...
 
Ushauri wa bure kabisa,
Kama yupo tayari huyo ddmu usimuache muoe,ni ngumu sana mwanamke na mwanaume kukaa mda mrefu bila kupoza injini,fikiria nyege zilipompanda na wewe uko mbali angefanya nini?Pia hakuna msichana anaeweza kuwa na uvumilivu,sema wengi hufanya siri,na kosa alilofanya ni kukuonyesha kiburi,fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Hata ukioa mwingine nae ashagegedwa na wengine,hata mbelen mwanamke anaweza kukusaliti.
WAKATI NATOA MBINU HUKUNIELEWA.
demu wako anaenda chuo ama yupo chuo na wewe uko mbali nae KANDAMIZA MIMBA ili upate uhakika wa kuwa nae,mambo ya usaliti wa siri ni ya kawaida sema wengi huwa hatujui.
 
Nikupe hongera kwamba umegundua haya mapema kabla hujaoa.......hakuna aliyemkamilifu hata wewe una mapungufu yako cha muhimu sasa mueleze ukweli mpenz wako juu ya usaliti wake na umuangalie atajibu nini juu ya hilo,baada ya majibu yake utajua wapi pakusimamia.

NB:usigombane na mwanaume mwenzio kisa demu tu,utapata aibu [USER=143654]Mlanje[/USER].Tena ogopa sana wanawake wanaokuja kushitaki kuwa wametongozwa.
 
Last edited by a moderator:

Ivoeeeh?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

Hapo tayari una digrii moja ya mapenzi, jitahidi tu ndio hivyo huyo kashaenda tafuta mpya
 
Mimba zamani ndo iliogopewa sasa hivi nani anaogopa mimba?Ikiwa mtu anakupa kavu hata ukimwi haogopi sembuse mimba?
Ukiona mtu hutakiwi sehemu basi anza kucheza reggae mapema.......mdogo mdogo.Utakuja kutesa kiumbe kisicho na hatia kwa miuno isiyo na TBs.
Tusilazimishe kupenda sehemu tusizopendwa ,tutaambulia maumivu tuuu.

Ushauri wa bure kabisa,
Kama yupo tayari huyo ddmu usimuache muoe,ni ngumu sana mwanamke na mwanaume kukaa mda mrefu bila kupoza injini,fikiria nyege zilipompanda na wewe uko mbali angefanya nini?Pia hakuna msichana anaeweza kuwa na uvumilivu,sema wengi hufanya siri,na kosa alilofanya ni kukuonyesha kiburi,fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Hata ukioa mwingine nae ashagegedwa na wengine,hata mbelen mwanamke anaweza kukusaliti.
WAKATI NATOA MBINU HUKUNIELEWA.
demu wako anaenda chuo ama yupo chuo na wewe uko mbali nae KANDAMIZA MIMBA ili upate uhakika wa kuwa nae,mambo ya usaliti wa siri ni ya kawaida sema wengi huwa hatujui.
 
kijana sikiliza

1. Hayo ni mambo ya kawaida sanaaa kwa jamii zetu na hasa hutawaliwa na tamaa (pesa au ngono) wengine wapenzi wao walichukuliwa na walimu wao huko mavyuoni.. Wengine wanachukuliwa na mabosi wao makazini etc.. So hayo mambo yapo chakufanya sasa hivi ....

2. Kama kweli unaushaihidi wa kutosha muite huyo binti mueleze yote na hivyo vithibitisho mpe.. Na baada ya hapo kwa amaani kabisa na kiroho safi mwambie.. Binti nakutaki maisha mema na kila lakheri.. Songa mbele na maisha yako
3,.. Nakuhakikishia huko mavyuoni ni kudanganyana tu.. Utanipa majibu mwakani mwezi november 2014,.. Atakapokuwa yupo kitaa kama miezi minne hivi dry hana voucher wala wakumbip hakuna....

Hayo niyakawaida... Jipanguse hilo vumbi (maumivu ya moyo) songa mbele.. Usiwaze yaliyotokea waza yanayokuja

kumbuka msaliti ni msaliti tu.. Ni sawa sawa na kichaa wa asili ni kichaa tu huwa haponi anapumzika tu.
 
Teh teh teh....ndo maana yake Kaizer alafu sasa hao aliowakubali mbona hakuambii?Kabla hujafanya maamuzi tafakari kwanza.
Jamaa kinachomuuma zaid ni pamoja na kugombana na mume mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

sasa umuulize nini wakati ushajua vipi bana fanya yako sasa mapema tafuta mwengine ili uwe huru lakini ujue na yeye alikuwa na bwana yake pia..
 
kijana sikiliza

1. Hayo ni mambo ya kawaida sanaaa kwa jamii zetu na hasa hutawaliwa na tamaa (pesa au ngono) wengine wapenzi wao walichukuliwa na walimu wao huko mavyuoni.. Wengine wanachukuliwa na mabosi wao makazini etc.. So hayo mambo yapo chakufanya sasa hivi ....

2. Kama kweli unaushaihidi wa kutosha muite huyo binti mueleze yote na hivyo vithibitisho mpe.. Na baada ya hapo kwa amaani kabisa na kiroho safi mwambie.. Binti nakutaki maisha mema na kila lakheri.. Songa mbele na maisha yako
3,.. Nakuhakikishia huko mavyuoni ni kudanganyana tu.. Utanipa majibu mwakani mwezi november 2014,.. Atakapokuwa yupo kitaa kama miezi minne hivi dry hana voucher wala wakumbip hakuna....

Hayo niyakawaida... Jipanguse hilo vumbi (maumivu ya moyo) songa mbele.. Usiwaze yaliyotokea waza yanayokuja

kumbuka msaliti ni msaliti tu.. Ni sawa sawa na kichaa wa asili ni kichaa tu huwa haponi anapumzika tu.

well done the atheist eistein albert
 
mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu december lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

tindikali!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

Bora yako wewe umesomesha tu, wengine washatoaga hadi figo kwa wapenzi wao na bado wakasalitiwa twendeni ivoivo ndo mapenzi ya siku hizi mkuu!!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please
Mkuu hapo kwenye red, umesema una miaka naye 3 na unamsapoort inamaana kwa secondary ni kama mwaka 1 ndio umemsaport, je umeshawahi kujiuliza huko kwa mwanzo yaani mpaka ulipopokea kijiti hapo alipokuwa form six alikuwa ana sapportiwa na nani? kama kweli anakutegemea wewe kwa asilimia kubwa? halafu ndio nitaendelea, maana inaonesha mlipo kutana tu, ulianza kumsaidia.
 
Huuuuuh..pole sana. Nilifanya maamuzi ya busara nikaamua kukaa kando.. Sasa tukiongea kwenye simu ni " I will never get someone like you"
Move on..there are good women out there.
 
sjawah ona usaliti mzuri. Never. Hatahvo hujatupa data za uchunguzi uliofanya japo hazna ulazma sana. Yote kwa yote, mwanamke kukusaliti inategemea sababu nyng...kumuacha sidhan kama ndo suluhsho kwani hakuna binadam aliekamilka. Muite, ongea nae pengne ni hsia zako znakuongoza vbaya, au pengne upo sahh. Kama yupo tayar kubadlka sioni haja ya kujpa magonjwa ya moyo.
 
Back
Top Bottom