Nimesalitiwa vibaya

Nimesalitiwa vibaya

Kugegedewa mbona ni jambo la kawaida hasa kwa watoto wanaotoka mashuleni, Vyuoni na kuanza maisha kwani wanaTaste wavijue kabla ya kuanza maisha, sasa usijeshangaa akakurudia kwani huyo aliyenaye akawa na mke. Jiandae kuombwa msamaha
 
pole my dear kua uyaone sio maghorofa,ila atarudi tu yakimwendea kombo huko and am sure they will turn for worse...
 
hapo kidume nachapa lapa kimya kimya... mwache akue mtoto wa watu.
 
mambo yashatokea tukushauri nini sasa?
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

Kwanza pole sana Kama ni kweli!

Lakini Umechunguzaje mkuu, make jamaa mwenyewe ulimjua kupitia kumpigia simu! Tupe uzoefu mkuu! Hii inaonekana ni ya kwenye kahawa!
 
Puuumbafuuuu, akili zimechoka saa hizi mtuhurumie nyi watoto mtatuuwa kwa pressure jamani vijana kazi yenu kulinda maboma sasa kwa mtindo huu nchi hii itasonga kweli?
Haya ushawahi kupiga kura nikushauri tatizo lako?
Jibu fastaaaa kabla sijakubaguwa!

Sense of humour kidogo mdau
 
achana nae,ila huwa wa dizain hiyo wengi huwa wanajirudi lkn huwa inakua too late,until then mwache apite hivi...
 
Acha utoto temana nae
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please
 
Ushauri wa bure kabisa,
Kama yupo tayari huyo ddmu usimuache muoe,ni ngumu sana mwanamke na mwanaume kukaa mda mrefu bila kupoza injini,fikiria nyege zilipompanda na wewe uko mbali angefanya nini?Pia hakuna msichana anaeweza kuwa na uvumilivu,sema wengi hufanya siri,na kosa alilofanya ni kukuonyesha kiburi,fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
Hata ukioa mwingine nae ashagegedwa na wengine,hata mbelen mwanamke anaweza kukusaliti.
WAKATI NATOA MBINU HUKUNIELEWA.
demu wako anaenda chuo ama yupo chuo na wewe uko mbali nae KANDAMIZA MIMBA ili upate uhakika wa kuwa nae,mambo ya usaliti wa siri ni ya kawaida sema wengi huwa hatujui.

haya bhana!
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa aliyedai anamsumbua,niliongea na yule jamaa na alikubali kuacha kumpigia bt jamaa alitoa matusi sana na kuamua kukata simu.Siku nyingine nilimwuliza vipi jamaa ameacha kukusumbua akasema ameacha na nisiwe na shaka lakini baada ya miezi mitatu niliona huyu mpenzi wangu amebadilika sana kwa kuwa na kauli mbovu na hata kupunguza mawasiliano nilipochunguza sana nimegundua ana uhusiano wa kimapenzi na yule jamaa.Nimepanga kumwuliza weekend hii lakini kiukweli imeniuma sana na kunikatisha tamaa sana maana nimedumu nae kwa miaka 3 na nilitarajia kuoa mwaka huu December lakini sidhani kama nitaendelea maana najiona nimedhalilishwa sana,ushauri please

endeleeni tu kuwasomesha wakimaliza chuo ile mje muwaoe endeleeni kwa kasi ari na nguvu mpya
 
Mwite umuulize tatizo ni nini ili hata ukipata mwingine usijerudia makosa
 
aisee pole sana, hata hivyo hongera kwa kufikia umri huo ukiwa bado hujaonja shubir ya mapenzi, life goes on.. hatuangalii yajayo ili tuyafanyie kazi bali yaliyopita kwa ajili ya siku za usoni, kitu chochote kikishakuwa cha mazoea hupoteza thaman yake, sawa kusamehe kupo kama utaamua maana ulimpenda ukizingatia hakuna mkamilifu tatizo ni huo moshi unaofuka huku unakaribia kichaka moto utalipuka mda si mrefu.. utasamehe leo, na kesho, hatimaye utaleta uzi mwingine..
SONGA MBELE,...
 
Teh teh teh....ndo maana yake Kaizer alafu sasa hao aliowakubali mbona hakuambii?Kabla hujafanya maamuzi tafakari kwanza.
Jamaa kinachomuuma zaid ni pamoja na kugombana na mume mwenza.

So Kijana ampige chini sio
 
kwanza kabisa bro naomba nikupe pole and naumia sana kwa ulopata ila tambua wanawake ni wengi wanaoitaji wanaume waaminifu kama wewe cha muhimu mwambie ukweli na umueleze mipango uliokuepo nayo kwake then um cancel and find another girl coz are so many na umweleze tu tena kwa herufi kubwa kuwa asijaribu kurudi wala ku please coz alichokifanya she deserve sticks and no matter what u have to make a strong decision my brother and continue with da future...kwa ushauri zaidi na msaada ni pm
 
Pole kwa yaliyokukuta Kaka ila cha maana ni kumshukuru Mungu kwa yote mana yeye ndo kakufanya ujue tabia ya huyo msichana mapema kabla hata hamjaingia katika ndoa,je ungeigundua tabia hii katika ndoa ungefanyaje?ndo mana nasema mshukuru Mungu na uzidi kumuomba ili akupe msichana mzuri ambae atakupenda kiukwel na ambae hawez kupapatikia wanaume kwa sabab ya walicho nacho,najua inauma mwanzoni ila baada ya muda unasahau,fanya hivo kaka na hautoumia tena ila ukasema unamsamehe na mrudiane ndo utaumia maana huyo aliemfata sasa hivi anakiwango chake cha hela na baada ya muda atakutana na mwingine mwenye zaid ya huyo,je ataweza kujizuia??kaa nae na umuambie ukwel mana usifanye kitu bila kumshirikisha
 
Pole kwa yaliyokukuta Kaka ila cha maana ni kumshukuru Mungu kwa yote mana yeye ndo kakufanya ujue tabia ya huyo msichana mapema kabla hata hamjaingia katika ndoa,je ungeigundua tabia hii katika ndoa ungefanyaje?ndo mana nasema mshukuru Mungu na uzidi kumuomba ili akupe msichana mzuri ambae atakupenda kiukwel na ambae hawez kupapatikia wanaume kwa sabab ya walicho nacho,najua inauma mwanzoni ila baada ya muda unasahau,fanya hivo kaka na hautoumia tena ila ukasema unamsamehe na mrudiane ndo utaumia maana huyo aliemfata sasa hivi anakiwango chake cha hela na baada ya muda atakutana na mwingine mwenye zaid ya huyo,je ataweza kujizuia??kaa nae na umuambie ukwel mana usifanye kitu bila kumshirikisha na mjaribu kwa kuanza kumuambia unaona bora mvunje uhusiano kwa sabab utakazo muambia afu uone reaction yake na hyo aiku mshtukize mana ukipanga nae anaweza akafta msg zote za jamaa ili usijue.
Ni ushauri tu Kaka
 
Back
Top Bottom