Nimesalitiwa na mpenzi wangu, naumia sana na sina raha kabisa

Huna akili wewe, mwanaume mzima unalilia penzi badala ya kutafuta pesa,jinga la wajinga,usikute ndg au wazazi wako hata hawapati mahitaji ya msingi,puuzi wewe tafuta pesa mapenzi yatafuata pesa
 
Pole mwaya ila inaonekana wote bado nyie bado wadogo.

Songa mbele utapata mwingine japo inauma usije tu ukajiua maana wanaume hamkawii
 
We sio sawa na huyo,maumivu yako niyakujitakia
Jipige kifuani mara tatu afu ujisemeee "Mimi ni fala pro max"
 
Nenda tu baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…