Nimesahau wallet

Dawa yake ni moja, mwanaume ukialika mwambie huyoo mrembo welcome but BYO (Bring your own), kila utakachonunua unalipia na ninalipia changu, ila tatizo mtakapotaka kwenda "faragha" sijui mtachangia nusu kwa nusu. Ndio mana wazungu wanayaweza sana haya ma-equation magumu ya mapenzi
 
yale yale, yale yaaaleeee....
Eti ''document kwanza,mzigo badae'' akili finyu.
 

Anaogopa kulipia Kodi biashara yake,ndio maana anafanya kwa kificho,a.k.a Tax Bubu
 

Kumbe wewe nawe ni mla vichwa?
 
Jenu kwani ulishampa huduma?halafu inaonekana hii ishu imetokea asubuhi hii,pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe alikuwa kwenye gari yako.......?.......oooh bwoy.......
s h i t happens........
 
Anaogopa kulipia Kodi biashara yake,ndio maana anafanya kwa kificho,a.k.a Tax Bubu

Dawa ya vibogoyo hao enzi hizo ni wash wash tu likamsanukie mbele huko! !!!!!

Wavulana wa siku hizi nao wamekazana kumechisha tu na mitindo ya nywele kubadili kila uchao ndo maana wanasumbuliwa na wachamba umande aaaaaaargh!!!!!!!
 
dah.. pole sana kaka yangu inaonekana umekwazika na uzi huu
 
Waacheni wadogo zetu bhana kama mtu anauza aweke wazi tangu mwanzo,kwani kusahau wallet si inatokea tu kama tunavyosahau leseni,si analipa tu then mna offset!!!!!

Ndio kila siku? Jenu kasema si mara ya kwanza.
Mbaya zaidi amechoma mafuta!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
 

Wakati uko naye mnakula maraha haukusema kuwa wanajua mambo ila kwenye pesa ndiyo umeona hafai kama ulijua wazee ndiyo wazuri kwanini ulikuwa na huyo kijana mbona kwenye mabo ya 6 by 6 mnasema ndiyo wazuri? na mlipokuwa mnalivalia kibwebwe suala la haki sawa kwa wote hamkujua matokeo yake? Saizi mnaanza kuwalilia waliowanyima haki sawa ndiyo mnawaona bora saizi? komaeni tu hivyo hivyo hakuna kulalamika ndiyo haki sawa yenyewe mlikuwa mnachekelea saizi povu zinawatoka, halafu cha ajabu unaweza kukuta ni maramoja tu imetokea povu linakutoka,kuweni na mapenzi yasiyojali pesa maana hayo ya pesa yamewashinda baada ya kuyaiga,kila kukicha mnalalamika kuna mwingine alikuja na maada hapa "eti nilizipenda pesa zake ila simpendi na yuko siliasi kunioa" sasa jamani si kujitesa huko eti kwa sababu ya pesa zinzotafutwa tuuuu? Halafu Unawasifia watu wazima ambao automatically ni waume za watu mnaishi maisha ya kujificha ficha eti mke asijekujua sasa hapo kuna raha gani mapenzi yanamasharti kama nini, hakuna kupiga simu usiku sasa kama unaumwa umezidiwa na wa kwanza unataka ajue mpenzi wako inakuwaje? Hivi kwanini hawa wanamwagiana tindikali wasionyeshe mfano kwenye sekta hii ili heshima irudi, maana mtu haawezi kuwa anatembea na mume/au mke wa mtu na akawa huru kana kwamba ni wa kwake...................................MIMI NAONA MBADILIKE MAPENZI YA KUFUATA PESA NI UTUMWA NA MKIENDELEA KUSHABIKIA PESA MTASAFIRISHA SANA HUO UNGA SI MNAPENDA HELA ZA BILA JASHO, ETI KWA MBUNYE TU MNATAKA MAMBO CHUNGU NZIMA UTAFIKIRI MMEOLEWA,MWANAUME ANAWAJIBU KWA MKE WAKE TU HAPO NDIYO MNAPASWA KULALAMIKA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…