Nimesahau pattern za simu yangu nifanyaje ?

Nimesahau pattern za simu yangu nifanyaje ?

hapana, bado nipo nahangaikia sipati jawabu ndugu

Kama umekubali kuwa umefanya uzembe kusahau email yako basi inakubidi ukubali na gharama ya huo uzembe, cha kufanya ni kuifanyia hard reset hiyo simu tu maana huna ujanja tena
 
Kwa nyie mlioanza kutumia email juzi 'baada ya ujio wa Gmail' ndio mna email za Gmail. sisi tuna email za siku nyingi za yahoo,hotmail na nyingine za ofisini. Unaponunua simu yenye operating system ya android unalazimishwa kuwa na email ya Gmail hapo unacreate email yoyote ili uweze kudownload vitu kutoka playstore. Hata mimi natumia simu hapa na nilicreate email siku naanza kuitumia lakini leo siikumbuki sio tu passwrd hata ID sikumbuki.
Inakuwaje mtu hukumbuki email yako!?
 
Basi unakuwa hupo serious na hujui ni kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, au unafikiri ni vitu vya kujifurahisha vya mda mfupi tu!
 
mimi ndio mana nawashauri watu jamii ya mama yako watumie nokia ya tochi(model 1280),wanakuja dukani kwangu wakala wa mpesa na simu za kugusa hawajui kuzitumia basi kero tupu
 
mimi ndio mana nawashauri watu jamii ya mama yako watumie 128nokia ya tochi(model 0),wanakuja dukani kwangu wakala wa mpesa na simu za kugusa hawajui kuzitumia basi kero tupu
yani tangu isumbue simu ndio ninacheka sasa...... sawa wakala wa mpesa
 
Kwa nyie mlioanza kutumia email juzi 'baada ya ujio wa Gmail' ndio mna email za Gmail. sisi tuna email za siku nyingi za yahoo,hotmail na nyingine za ofisini. Unaponunua simu yenye operating system ya android unalazimishwa kuwa na email ya Gmail hapo unacreate email yoyote ili uweze kudownload vitu kutoka playstore. Hata mimi natumia simu hapa na nilicreate email siku naanza kuitumia lakini leo siikumbuki sio tu passwrd hata ID sikumbuki.
yangu yenyewe nakumbuka jina langu tu kwenye hii gmail lakini mengine sikumbuki kitu, itabidi sasa niwe makini zaidi na hivi vitu
 
Basi unakuwa hupo serious na hujui ni kwa nini unatakiwa kufanya hivyo, au unafikiri ni vitu vya kujifurahisha vya mda mfupi tu!
mkuu kuna vitu vingi sana vya kuwa makkini nayvo... simu ni third part tuu kwangu....
 
hata model sijui ndio maana nimeweka picha hapo mi nachojua ni lg na kutumia tuu mkuu kwakweli uzembe umepiitiliza

niliondoka mtandaoni chakufanya toa battery angalia kwenye sticker wameandika model gani maana zinatofautiana au jaribu njia hii

to get into recovery mode combination is home button + power on in recovery touch does not work so use volume up to scroll up, volume down to scroll down, home to select and power key to go back.
 
Yaani hilo tatizo limepata mie kama wiki 3 zilizopita.

Tafuta program inaitwa moborobo hii itasaidi ww kifanya back up ya data zako.

Vile vile kuna maelezo ya kurecover forgottn patterns.

SASA HIYO APP NAIPATA WAPI MKUU NA SIMU HAIFANYI TASK YOYOTE ZAIDI YA KUPOKEA SIMU TUU?

Tumia computer...ambapo utainstall hio software moborobo halaf unaconnect kwa usb kwny pc
 
Searh google, au na ku search hujui? Rahisi sana kwenye blog ya xda-developers wameeleza vema sana..
 
Searh google, au na ku search hujui? Rahisi sana kwenye blog ya xda-developers wameeleza vema sana..

I've searched that blog but what I see and get are other android smartphones..... there is no LG mkuu
 
Reset kwa kushikilia cha kuwashia simu..cha kupunguzia sauti..na cha camera ili ui reset simu..lakini hyo ni baada ya kutoa laini na Memory..bt hyo ni kwa LG Windows phone..
 
Back
Top Bottom