Nimesahau pattern za simu yangu nifanyaje ?

Nimesahau pattern za simu yangu nifanyaje ?

Public Enemy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
3,066
Reaction score
3,639
Habari ya jioni wana jamvi..... ninaombeni msaada wa kuifungua simu aina ya LG niliweka pattern sasa nikasahau nikazidisha kujaribu HATIMAYE IMEJILOKI... INATAKA NIWEKE EMAIL NA PASSWORD, Lakini bahati mbaya sikumbuki hivyo vyote.... ikaleta option ya kuifungua kwa kwenda kwenye website yao pia ni UTATA maana website ipo katika lugha ya KIKOREA na google hai-translate maneno yale..... nifanyeje?
 

Attachments

  • IMG_20140502_180019.jpg
    IMG_20140502_180019.jpg
    91 KB · Views: 235
  • IMG_20140502_180007.jpg
    IMG_20140502_180007.jpg
    100.2 KB · Views: 217
  • IMG_20140502_180026.jpg
    IMG_20140502_180026.jpg
    116.3 KB · Views: 190
  • IMG_20140502_180036.jpg
    IMG_20140502_180036.jpg
    107.1 KB · Views: 189
Habari ya jioni wana jamvi..... ninaombeni msaada wa kuifungua simu aina ya LG niliweka pattern sasa nikasahau nikazidisha kujaribu HATIMAYE IMEJILOKI... INATAKA NIWEKE EMAIL NA PASSWORD, Lakini bahati mbaya sikumbuki hivyo vyote.... ikaleta option ya kuifungua kwa kwenda kwenye website yao pia ni UTATA maana website ipo katika lugha ya KIKOREA na google hai-translate maneno yale..... nifanyeje?
 
Last edited by a moderator:
Tuambie tu kama umenunua ya mpela mpela tukusaidie kuifungua, sio kitu cha kawaida mtu kusahau email na pw yako mwenyewe
 
Yaani hilo tatizo limepata mie kama wiki 3 zilizopita.

Tafuta program inaitwa moborobo hii itasaidi ww kifanya back up ya data zako.

Vile vile kuna maelezo ya kurecover forgottn patterns.

Kuna process kimtindo uwe mvumilivu kufuata maelekezo
 
tuambie tu kama umenunua ya mpela mpela tukusaidie kuifungua, sio kitu cha kawaida mtu kusahau email na pw yako mwenyewe
ni ngumu kuamini lakini ndio hivi...... Nimejiweka mimi lakini ni ya mama yangu kwahiyo kasahau mkuu.... Nimeweka nafsi yangu ili iwe kazi raahisi kuelewana.....
 
Yaani hilo tatizo limepata mie kama wiki 3 zilizopita.

Tafuta program inaitwa moborobo hii itasaidi ww kifanya back up ya data zako.

Vile vile kuna maelezo ya kurecover forgottn patterns.


SASA HIYO APP NAIPATA WAPI MKUU NA SIMU HAIFANYI TASK YOYOTE ZAIDI YA KUPOKEA SIMU TUU?
 
Back
Top Bottom