Nimesahau mzigo ndani ya basi

Nuksi huanzia kwenye mambo kama haya
Watu mna viimani imani vya ajabu sana. Eti nuksi, hv unajua yanayofanyikaga humo kwny mabasi usiku yakiwa yamepark? Skia,kama kweli kuna ktu knaitwa nuksi basi amini kwamba mabas yote yana nuksi,,,,kwny mabasi madem wanabanduliwa sana hasa hasa wale madem wageni kutoka mikoani wasiokua na mwenyeji
 
Kabisa mkuu
 
Sure,pia siku hizi kuna cloud service nyingi tena nyingine ni free kwa kiasi flani cha data,na unaweza kuziaccess data zako ukiwa papote,hizi ni njia salama za kuhifadhi data zako hasa ambazo ni za muhimu.
Kweli mkuu sema zingine unakuta mi kubwa mno.
 
Sure,pia siku hizi kuna cloud service nyingi tena nyingine ni free kwa kiasi flani cha data,na unaweza kuziaccess data zako ukiwa papote,hizi ni njia salama za kuhifadhi data zako hasa ambazo ni za muhimu.
Apart from Google drive, ni cloud storage gan nyngne nzuri kusave text?. Mana huku drive ukitaka kusev text fulan n lazma uwe na google word. Sasa kama smu ina storage ndogo ni changamoto asee
 
Hata Mimi nshawahi kusahau mizigo Mara nyingi tu kwenye mabus Cha kwanza napiga namba ya wakala aliyenikatia tiket namuomba namba ya konda au dereva !! Afu wao ndio nawaambia mzigo wangu uko sehem gani na ukoje !! Naukuta kwao
 
Pole kwa usahaulifu, kupotea, kusahau na kuibiwa ni jambo ambalo hutokea pasipo kutarajia (accident). Kama umefanya juhudi zote hizo na bado hujafanikiwa nikushauri tu jifunze kuachilia na kuendelea na maisha mengine.
 
Fafanua kidogo uamuzi wa ghafla kushuka Chalinze ulitokana na nini?
 
Apart from Google drive, ni cloud storage gan nyngne nzuri kusave text?. Mana huku drive ukitaka kusev text fulan n lazma uwe na google word. Sasa kama smu ina storage ndogo ni changamoto asee
ukiwa na window 10 au 11 activate one drive inakuwepo ila ipo off, ukisave file kwenye my documents file linakuwa uploaded wkt huo huo au mda tu pc ikiwa kwenye net itapandisha file.
 
Pole kwa usahaulifu, kupotea, kusahau na kuibiwa ni jambo ambalo hutokea pasipo kutarajia (accident). Kama umefanya juhudi zote hizo na bado hujafanikiwa nikushauri tu jifunze kuachilia na kuendelea na maisha mengine.
Sawa mkuu sina jinsi zaidi ya kukubali matokeo
 
Kweli mkuu. Ila nimepata hasara sana. Kwani nina project za watu wengi na wengine walishalipa pesa zao. Sijui hata nasema/nafanya nini.
Pole sana aisee, ila jifunze kuwa na backup/external hard drive kuepukana na hiyo changamoto
 
Kikubwa begi lilishuka kabla yako, waliiwahi laptop.

Hali kama hii usitegemee kupata chochote.

Ripoti polisi upewe ripoti ya kukuwezesha kutengeneza vitambulisho vingine.

Mzigo mmoja na unausahau huo huo kwenye gari.

Pole mwanangu
Huna uhakika na hilo, hasa kwa kuwa mwenye mzigo kasema alipanda Bus akiwa mtu wa pili. Wezi wengi ili waibe lazima wamjue mwenye begi, hawawezi kamwe kuiba blindly. Ndiyo maana hata mimi nikiweka kibegi changu kwenye keria ya Bus naweka upande wa pili na sitaligusa, mimi napiga jicho tuu. Kiufupi begi limeibiwa stend Msamvu hapo..
 
Mtoa mada anasema alipiga namba za kwenye tiketi akakuta wengi washaacha kazi hiyo kampuni Mimi nijuavyo kwenye tiketi hua wanaweka namba za mmiliki wa bus au ofisi kiasi angepiga kwa muhusika begi lake ningepatikana
Daah ila hiyo kampeni iko very local aise.. Kuna siku nilitoka Mbeya kwenda Iringa na Shabiby Bus inayokwenda Dodoma.. Wao kila abiria ukikata tiketi wanaandika namba yako. Sasa baada ya mimi kushuka Iringa baadae nikapigiwa simu kwamba je sijashuka na begi ambalo siyo langu? Kuna abiria wameexchange mabegi (yaani mtu kachukua begi si lake). Nikawaambia no nimeshuka na la kwangu, so kiukweli hawa jamaa niliwaona wako very organized kwa sababu waliweza ku trace abiria wao.
 
Kweli mkuu, mwenye nahisia hizo kwani kwa abiria kuiba ni kazi sana mana hajui mzigo ni wanani
 
ndio mimi siachag bag langu...
 
Uliusahau kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…