Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Kuwa peke yako kuna nguvu; inakufanya utambue kwamba unajihitaji zaidi.
Kadiri unavyojijua mwenyewe, ndivyo unavyohitaji idhini ya wengine kidogo sana.
Mpaka utakapokuwa huru kuwa peke yako, hutajua ikiwa uko na mtu kwa sababu ya mapenzi au upweke.
Tunazalisha hofu wakati tunakaa. ila huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.