Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,152
- 39,421
MACHOZI YAMENIBUBUJIKA baada YA KUZIANGALIA HIZO PICHA .
unafiq mtupu
MACHOZI YAMENIBUBUJIKA baada YA KUZIANGALIA HIZO PICHA .
Kwa maisha haya ya Watanzania nani ataipenda CCM?
unafiq mtupu
Kuna watu mna mioyo ya chuma kabisa. Yaani hata katika hili bado unatia neno? Nina mashaka waweza kuwa roboti wewe na si binadamu.hata mkitunga za kuonesha watu wanachinjwa haitasaidia
Ungekuwa karibu ningekuvunja hiyo sura yako inayofanana na hiyo picha kwenye avatardanganya toto
Kwa maisha haya ya Watanzania nani ataipenda CCM?
Ni kweli, nani pia ataipenda CCM wakati watoto wake wanasoma katika shule hizi ambazo CCM imeamua kwa kauli moja kuziua.
Ule usemi wa "Elimu ni Ufunguo wa Maisha" upo hapo kwa style hii, hebu mcheki yule dogo wa kwanza kushoto utapata jibu.
Baada ya kuzicheki zile picha machozi yamenitoka mzee wenu.