Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

Kwa maisha haya ya Watanzania nani ataipenda CCM?

ambiulance.jpg


wodizetu.jpg


two_liter_shoes.jpg


chalinze1.JPG


wheelbarrow_ambulance_harare.jpg

hata mkitunga za kuonesha watu wanachinjwa haitasaidia
 
Vijana wa kazi Lumumba hamsomeki, post inapeta bila majibu.....how comes...mmefika u-turn point, au point of no return, au mme-hit the wall, au ndio mko at the point of surrender?
 
unafiq mtupu

unaambiwa hivi , hakuna wa kuiokoa ccm katika kizazi hiki , anza kujipanga , bado hujachelewa ! Maana muda ukifika tutakuburuza wewe na hao wanaokutuma kuleta uchuro humu mahakamani , OPD DAIMA !
 
UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA kwa hali ILIPOFIKIA ,WANAOTETEA CCM HAPA JF NI WATOTO WA VIONGOZI AU BABA ZAO AMBAO NDIYO VIONGOZI WENYEWE WA CCM , HAKUNA HATA MJUMBE WA NYUMBA 10 AU KAPUKU YOYOTE ANAYEWEZA KUTETEA CCM .
 
hata mkitunga za kuonesha watu wanachinjwa haitasaidia
Kuna watu mna mioyo ya chuma kabisa. Yaani hata katika hili bado unatia neno? Nina mashaka waweza kuwa roboti wewe na si binadamu.
huoni wenzako Lumumba team wameingia mitini kwa hudhuni ya kuona hizo picha ambazo nina hakika wapo ndugu zao wanaopelekwa hospitali namna hiyo.
 
Kwa maisha haya ya Watanzania nani ataipenda CCM?

ambiulance.jpg


wodizetu.jpg


two_liter_shoes.jpg


chalinze1.JPG


wheelbarrow_ambulance_harare.jpg

CHADEMA basi onyesheni walau ka-dispensari kamoja mlikojenga ambako katawafanya wapiga kura wawapende.Toeni picha ya hako ka-dispensari hapa au onyesheni hata lofa mmoja tu mliyemnunulia ndala za mia tano katika ziara zenu basi tujue mnajali wasio na viatu.Isijekuwa kazi yenu kutua na helikopta kupiga picha za malofa na kupeleka ulaya kuomba pesa na kuishia kuwaacha hoi kama mlivyowakuta! Yaani safari zote hata kiongozi wa Chadema kuonekana anasaidia ujenzi wa darasa hamna.Ni kupiga bla bla za hotuba kupanda helikopta na kupaa shame on you!
 
pamoja sana kamanda
wananchi wameamka
wameshajua haki zao, hakuna kurudi nyuma.
CCM pan zao zote zimefeli sijui watakuja na mbinu gani tena.
 
Great victory comes from great tourtures. Chadema tutakuwa na wewe daima.
 
Utashangaa sana jinsi uchaguzi 2015 utakavyokuwa

CCM-76% kura za urais
CDM -6% kura za urais
 
Big up kamanda na wote kwa pamoja walioshiriki na wanaoendelea kwa pamoja katika M4C~PAMOJA DAIMA,kwa pamoja Allah wa Subhana na awajaalie kheri na baraka tele."Kwa pamoja tutashinda".
 
Hongereni Makamanda ni ukweli kuwa tupo duniani kwaajili ya wengine, Malipo yake yapo hapahapa Duniani. CDM ni Mpango Mzima!
 
Ni kweli, nani pia ataipenda CCM wakati watoto wake wanasoma katika shule hizi ambazo CCM imeamua kwa kauli moja kuziua.

Ule usemi wa "Elimu ni Ufunguo wa Maisha" upo hapo kwa style hii, hebu mcheki yule dogo wa kwanza kushoto utapata jibu.

Juakali-Chunya.jpg

Kwa kweli, huyu Mtoto aliyekaa kushoto kabisa (anayetizama kinyume 'reverse') ndiye anatufunulia mambo mengi zaidi, pahala ambapo CCM imetufikisha kama Taifa na uzao wetu wote ambao wao wanauita eti 'taifa la kesho'!

Tafsiri chache tu ni:

  • taifa la kesho (la Tanzania) linaelekea wanakotoa wengine!
  • taifa la kesho limepoteza matumaini kabisa ya kule ambako lingetakiwa liende kama wengine.
  • taifa la kesho 'halipo' maana linaonekana kuwa na mtizamo na mwelekeo wa 'jana', ambako ni opposite na wengine wote ktk kundi, hivyo halina 'kesho' milele! - Tatizo la ombwe la uongozi.

Ni MA-CCM yametufikisha katika hali hii ya majanga. Mizigo haitaki kupisha wengine kulinusuru taifa la kesho na kuangamia huku...! Bali siku zinakaribia haraka, 2015 ndio pambazuko jipyaa..!,

Pamoja Daima....hadi mizigo yote kungolewa...watoto wetu wapate tumaini jipya, wao kama taifa la leo na kesho!
 
Back
Top Bottom