Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Jaribu kuformat
You are not serious, right?
Jaribu kuformat
Ni njema tuu nakuwaza kucha kutwa mpenzi
You are not serious, right?
Nimekwambia nimekasirika kweli
Naelewa, nachouliza ni hivyo unavyosema umenifuta.
Baby niweke kwenye list list yako please
Baby niweke kwenye list list yako please
List ipi baby😂😂
Aisee.
Bado hujapotea?
Hata wewe pia matamu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wakuu habarini...
Nimewamiss sana...
Nimerudi humuu...habari za huku tamuu..comment za humu tamu...wadada wa huku watamuu...wakaka wa huku watamuu...yani mambo yote JF matamuu...
Donatila...
Unanifukuza?
Ee nakufukuza
Nimechoka kuumizwa na mtu yule yule kila siku
Ya watu wako maalumList ipi baby😂😂
Tutakaa kikao cha familia tulijadili hili swala.
BTW, hongereni naona sasa hivi Man Utd mnasajili kwa fujo kama Simba.
Mbona wewe muhimu sana kwangu...sanaaaa😊Ya watu wako maalum
Nilikua nimekununia naona umeona unifurahishe hivi😂😂😂Hahaha.
Dah!
Usipende kutoa hukumu bila kumsikiliza mtuhumiwa.
Mnatengeneza kikosi cha miaka ijayo.