Nimerudi tena JF - MNYISANZU

Nimerudi tena JF - MNYISANZU

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,106
Nawasalimu sana wana JF. Nilikuwa offline kwa kipindi kirefu kidogo kutokana na shughuli nilizokuwa nazifanya kijijini ( remote area ). Mtandao ulikuwa unasumbua sana. Sasa nimerudi tena na nitaendeleza michango yangu constructive kama ilivyokuwa hapo kabla. Ahsanteni sana.
 
Karibu mkuu,pitia majukwaa yote kuna mambo matamu na machungu mengi mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom