Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,541
- 30,097
I recommend to you....@ Valentina
Ha ha haaa poleee. Siasani ni hatare. karibu sana.
Karibu tena , hivi huko Siasani hamnaga couple?
Karibu karibu tedo pole na dhoruba ya kukunja ndita siasani.hapo kwenye mke muone baba v. Anazo recod ya masingel gall wote humu ndani.
Cc arusha one
I recommend to you....@ Valentina
Ahsante sana Valentina.....Maneno yako yamefanya damu yangu ichemke ....
ndio maana nimesema nataka mnipe hints nini kinaendelea huku...Nisije nikafukuzwa bure..huyu sibado ndoa changa?yani ndo imepata baraka anataka kuisaliti?
Mwambie afanye fasta...ngoja nitume akaangaliwe pale kwa muuza kahawa aje ajibu mwenyewe.
huyu sibado ndoa changa?yani ndo imepata baraka anataka kuisaliti?