ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
jamani kwanini nisiwe dada mkubwa kwani dada mkubwa anapewa yote tokakwa wazazi
No moja ... Dena Amsi
No mbili.... Paloma
Three.... Passion Lady
four......... Madame B
Five..... gfsonwin
Six........ snowhite
Dada mkubwa... Blaki Womani
Kadada..... Preta
Wa zamani.... sweetlady
Dada mdogo .... ladyfurahia
No moja ... Dena Amsi
No mbili.... Paloma
Three.... Passion Lady
four......... Madame B
Five..... gfsonwin
Six........ snowhite
Dada mkubwa... Blaki Womani
Kadada..... Preta
Wa zamani.... sweetlady
Dada mdogo .... ladyfurahia
ladyfurahia fanya fanya makeke bana ulete mahari ya ukweli ba uwe unampa mpa kaka yako pesa ya vocha utapanda bei kuwa dada mkubwa
Binamu Mr Rocky.......
Hebu tutambue kwa sura hapa.
Binamu zako wote sisi hapa. Paloma, Dena Amsi, ladyfurahia, Madame B, gfsonwin, Passion Lady, Preta, snowhite, sweetlady na Blaki Womani.
No moja ... Dena Amsi
No mbili.... Paloma
Three.... Passion Lady
four......... Madame B
Five..... gfsonwin
Six........ snowhite
Dada mkubwa... Blaki Womani
Kadada..... Preta
Wa zamani.... sweetlady
Dada mdogo .... ladyfurahia
Binamu Mr Rocky.......
Hebu tutambue kwa sura hapa.
Binamu zako wote sisi hapa. Paloma, Dena Amsi, ladyfurahia, Madame B, gfsonwin, Passion Lady, Preta, snowhite, sweetlady na Blaki Womani.
Binamu Madame B yaani mlivyojipanga kuanzia kushoto ni Madame B mwenyewe na then ladyfurahia na then Paloma na then Passion Lady na @ dena amsi na gfsonwin na then sweetlady na then snowhite na then Blaki Womani na then Preta wanapendezaje binamu zangu aise
Binamu Passion Lady ana wasi wasi wa kuibiwa tuu ndo maana hata kumkiss binamu naogopa bana
Binamu huyo Erickb52 ana matatizo sana na hapa nina mpango wa kumfungulia kesi ya kudanganya
heheheeee!!analo mi simo
alikudanganya nini tena binamu?msamehe!!
Binamu Madame B yaani mlivyojipanga kuanzia kushoto ni Madame B mwenyewe na then ladyfurahia na then Paloma na then Passion Lady na @ dena amsi na gfsonwin na then sweetlady na then snowhite na then Blaki Womani na then Preta wanapendezaje binamu zangu aise
binamu mi nilidhani
umetusahau kumbe una kumbu2!!