Hahahaah! Sante kalesa wikolo...! Na wewe upo na nani?Ohoo...!!! jomba hapa ndani people zimewowana hadi imekuwa vizuri yaani, tembea taratibu utaanza kugundua nani ni nani... yaani kimsingi things are no longer the same... Tutenzi wikolo..!!
Haahahaaa
Nawewe fanya ufisadi sasa.come on brother...! Huu ni ufisadi,,,,
Nyumba yangu inalindwa na mtambo maalum wa kuzuia wanyatuzi...Danger!!!