Ya juzi tumesahau embu tukumbusheYale ya juzi tuliongea na tukayamaliza baada ya kuzingatia ushauri wenu.
Sasa leo huyu mchudenga wangu amekuja na kubwa akisema kwamba..... anashida kubwa na mimi.
Mie nikamjibu kwa upole na ustaarabu kabisa kwamba.... kama anashida na mimi, aweke kwenye whatsap status na shida itakwisha na kupotea baada ya masaa 24.
Eti nimekosea wapi wakuu...πͺ maana sioni dalili za leo kupewa chakula cha mwili...π
Ya juzi ndo alitisha zaidi eti anataka kufanya harusi kwa zoom baada ya harusi kila mmoja anaenda kula majumbani mwakeYa juzi tumesahau embu tukumbushe
Hapo sawaYa juzi ndo alitisha zaidi eti anataka kufanya harusi kwa zoom baada ya harusi kila mmoja anaenda kula majumbani mwake
Unatuomba ushauri wakati ushafanya maamuzi.Kwanini mkuu..π€
Ili nini..Baada ya kushiba nimsake mtoto mwenye makalio makubwa nimsosomoe -------
Ivi kumbe ndo huyu