kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,508
- 4,362
Hizo 40k za ngama waenda kuzinywea bia? Hako ka bachelor kako hakajakusaidia kitu.Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Fanya kazi kwa akiliNina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
atapigwa radi moja kali.Umerudi wakati mbaya maana wananchi watakumaliza
Ww kweli n mtanzania, hii ndo maana halisi ya kuwa Mtanzania.Huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
kweli kabisa, yani mtu unapata 40K ya kazi ya siku moja unaiwazia bia, kwa akili hizo lazima awe muonevu.Hizo 40k za ngama waenda kuzinywea bia? Hako ka bachelor kako hakajakusaidia kitu.
Mtu hana 200, ila mgambo anategemea hapo kupata rushwa ya 5000 😂Mtu hana sh 200 ya kulipia huduma ya choo anaamua kukojoa barabarani. Pesa ya rushwa atatoa wapi?
Sema umepata biashara ya MgamboNina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
HAmlalagiNina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
Pesa yoyote ambayo unaipata bila haki huwezi kuifanyia maendeleo yoyote ya maana.Ww kweli n mtanzania, hii ndo maana halisi ya kuwa Mtanzania.
Mtanzania akipata pesa tuu anawaza anasa, akipata upenyo wa upigaji anapiga kisawasawa.
Ndo mana viongozi wetu wajinga wengi wanawaza upigaji tuu ndo mana wanafanya kila namna kuwaumiza wengine ili wabaki kwenye hizo nafasi.
Hongera..Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt.
Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti.
Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi mtaani.huu mchongo ukikamilika leo jioni sikosi ka elfu 40 kangu ka kunywea bia.
Nikivaa gwanda zangu sikosi ela za rushwa kutoka kwa mama ntilie,machinga na watu wanaokojoa hovyo mitaani.
AsanteHongera..