Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,468
Heh. Kama huna usingizi kunywa kahawa kidogo ufungue kichwa. Maana kwa ushauri huu nina wasiwasiNunua gari nyingine.
Heh. Kama huna usingizi kunywa kahawa kidogo ufungue kichwa. Maana kwa ushauri huu nina wasiwasiNunua gari nyingine.
Acha kukariri kua dunia nzima sasa hivi ni usiku.Heh. Kama huna usingizi kunywa kahawa kidogo ufungue kichwa. Maana kwa ushauri huu nina wasiwasi
Sio yote nduguDah...kumbe magari nayo hutumia funguo! Nilikuwa sijui kabisa....
aina gani ya gari ya Toyota model ganiWakuu nimepoteza ufunguoa wa gari. Toyota. Nifanyeje? Sina spare.
wakigoma nistue, maana sjawaipanda bombadiaLini ma cashier wa zile Bombardiers nao watagoma?
Mkuuu umemaliza kazi, akifuata ushauri huu atapata suluhisho. Gari za kisasa ufunguo wa kuchonga kwa Mangi hauwashi gari bali utaweza kufungua mlango tu.Inategemea na gari/model/mwaka.
Kama ni model ya zamani zaidi unaweza ukachongewa kama ni model mpya funguo zina chip ndani funguo hizi za kuchonga kawaida hazistart gari, funguo inabidi ifanyiwe programming na nadhani kwa kuwa ushapoteza inakuwa kasheshe, waone Manji Keys kisutu mtaa wa Zanaki.
Manji Key Master
Wakuu asanteni nimeupata ufunguo wa gari. Ulikuwa ndani ya begi ambalo huwa silitumii kabisa.Mkuuu umemaliza kazi, akifuata ushauri huu atapata suluhisho. Gari za kisasa ufunguo wa kuchonga kwa Mangi hauwashi gari bali utaweza kufungua mlango tu.
Sasa huku uliuwekeje?Wakuu asanteni nimeupata ufunguo wa gari. Ulikuwa ndani ya begi ambalo huwa silitumii kabisa.
Huwa hajui alitendalohahah matola ni mjuaji, yuko hivyo ana vijitabia Vya kishamba kama chikungunya
Unataka kusema ni Toto ya ntu?Matola. Mbona umekomaa sana na hii topic halafu wewe unakaa Kino.
Ukishapata ufumbuzi wa ufunguo, ili tatizo lisitokee tena hakikisha unakuwa na keyFinde - ambapo waweza locate ufunguo wako kwa kutumia app ya simu au alarm.Wakuu nimepoteza ufunguoa wa gari. Toyota. Nifanyeje? Sina spare.
Acha kusumbua watu kesho utakuja huioni simu yakoWakuu asanteni nimeupata ufunguo wa gari. Ulikuwa ndani ya begi ambalo huwa silitumii kabisa.