mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,059
- 132,506
Wait Kino hizo siyo Jamba la kuwaza kabisa....Matola. Mbona umekomaa sana na hii topic halafu wewe unakaa Kino.
Ova
Wait Kino hizo siyo Jamba la kuwaza kabisa....Matola. Mbona umekomaa sana na hii topic halafu wewe unakaa Kino.
Aingie youtube wanaonyesha njia kibao za kutoa hiyo lockJitahidi upate upenye kwenye kioo cha mlango, unaweza kutoa raba/mpira unaozunguka kioo then ingiza waya ili ufyatue lock.
Utafungua bila shida, imenitokea mara mbili kufungia ufunguo na niliweza kufanya hivyo
amepoteza ufungua na hana spare key hapo ni kununua mfumo mpya wa ignition ndio mjifunze kuwa na funguo za Akiba. Mie nina Garry moja karee matako ya nyani new model ya 2014 ina funguo naneJitahidi upate upenye kwenye kioo cha mlango, unaweza kutoa raba/mpira unaozunguka kioo then ingiza waya ili ufyatue lock.
Utafungua bila shida, imenitokea mara mbili kufungia ufunguo na niliweza kufanya hivyo
Hiyo issue ya kumiliki garry karee ni uongo tu kunogesha uzi ha ha haamepoteza ufungua na hana spare key hapo ni kununua mfumo mpya wa ignition ndio mjifunze kuwa na funguo za Akiba. Mie nina Garry moja karee matako ya nyani new model ya 2014 ina funguo nane
Ngoja niwafuate hawa....aksanteInategemea na gari/model/mwaka.
Kama ni model ya zamani zaidi unaweza ukachongewa kama ni model mpya funguo zina chip ndani funguo hizi za kuchonga kawaida hazistart gari, funguo inabidi ifanyiwe programming na nadhani kwa kuwa ushapoteza inakuwa kasheshe, waone Manji Keys kisutu mtaa wa Zanaki.
Manji Key Master