Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Smiller

Senior Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
181
Reaction score
41
Wakuu za Asubuhi?
Nimepoteza simu yangu asubuhi hii. Msaada tafadhali !! Siku download app secure yoyote.
Nikipiga haipatikani tena.
Je naweza ipata kweli?
 
pole sana umeipoteza katika mazingira gari ?kuipata ni miuzija fulani hivi
 
Kwanza pole, kuipata inawezekana bt uwe na no yake I mean uliyotengenezewa, au plan b angalia n mtandao upi ulikuwa unatumia ukiwaeleza huwa wanauwezo wa ku itrack, japo watakuuliza maswali machache...

Unaweza ipata nw dayz cm hzo watu hawaibi maana utakamatwa nayo tu..
 
pole sana kaka, me natumia s3 naombeni msaada juu ya security application ambayo itaweza kunisaidia kama ikipotea.
 
Wakuu za Asubuhi?
Nimepoteza simu yangu asubuhi hii. Msaada tafadhali !! Siku download app secure yoyote.
Nikipiga haipatikani tena.
Je naweza ipata kweli?

Una sh ngapi nikurudishie?
 
Kwanza pole, kuipata inawezekana bt uwe na no yake I mean uliyotengenezewa, au plan b angalia n mtandao upi ulikuwa unatumia ukiwaeleza huwa wanauwezo wa ku itrack, japo watakuuliza maswali machache...

Unaweza ipata nw dayz cm hzo watu hawaibi maana utakamatwa nayo tu..

Asante mkuu!! Ni Vodacom number
Ni wapi wanaweza fanya hivyo?
 
Kwanza pole, kuipata inawezekana bt uwe na no yake I mean uliyotengenezewa, au plan b angalia n mtandao upi ulikuwa unatumia ukiwaeleza huwa wanauwezo wa ku itrack, japo watakuuliza maswali machache...

Unaweza ipata nw dayz cm hzo watu hawaibi maana utakamatwa nayo tu..

Aaah wapi akiipata hiyo simu nampa nyingine
 
Kwanza pole, kuipata inawezekana bt uwe na no yake I mean uliyotengenezewa, au plan b angalia n mtandao upi ulikuwa unatumia ukiwaeleza huwa wanauwezo wa ku itrack, japo watakuuliza maswali machache...

Unaweza ipata nw dayz cm hzo watu hawaibi maana utakamatwa nayo tu..

Mkuu nikipiga Inaita. Hapo bado itakuwa Ngumu? Nimeipiga now ipo hewani.
 
Mi nilishawahi kupoteza android flani ,iliniuma na nillifanya juhudi zote sikufanikiwa kuipata. Nikataka kuiblock nikaona procedure ni ndefu mpaka ukapate kibali polisi...nikaachana nayo!!
 
nikupe namba za fundi yupo Sumbawanga atamtengeneza vizuri huyo mwizi
 
nasikia polisi wanaouwezo wa kuipata ila hata wakiipata wakiipenda wanabaki nayo wenyewe kama wataipenda.
_situmii simu inayozidi laki na nusu kuondia stress
 
Back
Top Bottom