Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

nadhan busara zaidi ni kumpa moyo na si kumfanyia mzaha,kwani inauma sana kupotelewa na mali, huenda kuipata kama hiyo ni issue ati! Pole sana Mkuu
 
nasikia polisi wanaouwezo wa kuipata ila hata wakiipata wakiipenda wanabaki nayo wenyewe kama wataipenda.
_situmii simu inayozidi laki na nusu kuondia stress

Ni kweli wana uwezo wa kuipata ikiwa itatumika nchini. Polisi wana kitengo cha cyber crime....
 
Pole.
Sasa jipange kununua S4 au S5 tu.

gharama ya kuipata hiyo yaweza kufikia nusu ya bei ya mpya.
 
Nenda benk katoe ela ununue iphone.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu yangu simu inatafutwa JF duuu hili Kali. Toa taarifa polisi then Nenda dukani
 
Ungeweka Anti theft hii ndio mpango mzima;akiweka laini yoyote utamjua kupitia namba ambayo ungeiweka
 
Unaipata mkuu sema itachukua muda na hela. Niliibiwaga bbstorm yangu nikaenda tigo nikamkamata mtaalam wa it akanicharge laki unusu akaingiza fon no yangu kny system akaweka tar ya mwisho kutumia mzigo huo ukaja kny display akakopi imei no. Then akatrack kupitia imei nos asee hata ubadilishe line mia itasoma tu nani anaitumia yuko wapi. Tukaanza kuwasiliana nae kirahisii tulimkamata asee.
 
Pole aplication za kukusaidia kwa wanaotumia android phn ni cm security,avast anti theft,lockpro, na android lost hizi zinauwezo wa kukutumia sms iwapo tu utabadilisha chip kwenye simu.
 
Huyu kapoteza hajaibiwa....!!!


Ukiokota kitu kisichokuwa chako unatakiwa kukitangaza, asipotokea mtu kuki-claim within a stipulated time then aliekiokota anakuwa na haki ya kukitumia. Kuokota kitu ukakifanya ni chako straight away ni WIZI, period!
 
Pole,kupiteza simu ni A, ila kupoteza contacts inauma sana.
 
Back
Top Bottom