Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Nikitangaze wapi???wee ukiokota fuko la hela utatangaza??
Me niliokota wallet chuo tena darasan nikatangaza kilichotokea siji sahau!!!!

Dah ulikosea sana,ungeipekua chukua pesa iache ilipo,,ataipokea mwingine then wewe unakuwa safe.
 
Piga mkwara kuwa unaenda kumroga mtu usipoipata ndani ya siku 3,utarudishiwa.
 
Nunua iPhone!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ungana na mimi niliyeibiwa pc ofisini. Pole best!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Dah ulikosea sana,ungeipekua chukua pesa iache ilipo,,ataipokea mwingine then wewe unakuwa safe.

Mjanja alichakachua mapema me niliona huruma nilikuta kitambulisho ikabidi nibebe wallet yote mpk ofisi ya serikal ya wanafunzi lakin mzigo wote nilitaka kubebeshwa coz alisema kulikuwa kuna thaman mbalimbali
 
pole sana mkuu,hapo ni kujipanga tu kuvuta kitu kingine
 
Mjanja alichakachua mapema me niliona huruma nilikuta kitambulisho ikabidi nibebe wallet yote mpk ofisi ya serikal ya wanafunzi lakin mzigo wote nilitaka kubebeshwa coz alisema kulikuwa kuna thaman mbalimbali

Ukatimliwa chuo?
 
.....s3 si mtaji kabisa kwa sie wauza karanga...!!!!....pongezi zimuendee muokotaji na pole zimfikie mwenye kupoteza.....amen...
 
Wakuu za Asubuhi?
Nimepoteza simu yangu asubuhi hii. Msaada tafadhali !! Siku download app secure yoyote.
Nikipiga haipatikani tena.
Je naweza ipata kweli?

Funguka. Uliipotezea wapi ? Labda ulilala bar uko tilalila. au ulilala gesti ukamkopa mpenzi wako penzi au labda uliipoteza kitio cha uda. Sthree ina security apps kibao. kama wewe hukuactivate hata moja ulitegemea nini ? Hii ni sawa na kuacha bia nusu ukienda uwani maeneo ya Mwananyamala bila ulinzi. Kanunue HUAWEI 330 Line ya tigo. voda ni wahuni
 
Back
Top Bottom