Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

Ukiokota kitu kisichokuwa chako unatakiwa kukitangaza, asipotokea mtu kuki-claim within a stipulated time then aliekiokota anakuwa na haki ya kukitumia. Kuokota kitu ukakifanya ni chako straight away ni WIZI, period!

Nikitangaze wapi???wee ukiokota fuko la hela utatangaza??
Me niliokota wallet chuo tena darasan nikatangaza kilichotokea siji sahau!!!!
 
Pole sana kaka mm last week nmepoteza simu pia Samsung premier yaan nlipata shida sana nlidondosha kwenye uda zile za pake kivukoni ila namshukuru MUNGU kanipa nyingine sikuweza kuitafuta kwan hata pa kuanzia sikupaona. Jipange kwa kununu nyingine na uwe mwaminifu
 
Nikitangaze wapi???wee ukiokota fuko la hela utatangaza??
Me niliokota wallet chuo tena darasan nikatangaza kilichotokea siji sahau!!!!

Kushindwa kutangaza kwa tamaa ya kubaki na hicho kitu hakutoi uhalali. Njia za matangazo ni nyingi tu zikiwemo magazeti, radio na television. Bad experience iliyokupata kwa kutenda jambo jema na ambalo ndio pekee sahihi isikufanye uache kufanya inavyostahili. Usipofanya hivyo ujue umeiba!
 
ndo ile yenye namba ya tigo au?!.

simu inauma jamani,mie niliibiwa Tecno P5 niliumia nikalaani hadi kesho,pole smiller.
 
kama hukuweka mipassword mingi,anauwezo wa kupokea simu na kusoma sms?,na kama bado inaita nitumie namba yake tujaribu kitu..
 
Kuna fundi hapa kariakoo kanipigia simu anasema kuna simu kama hiyo kuna dogo kaiokota asubuhi ngoja nikaicheki nikaiteke kwa bei ya masalo
 
Umetoa sadaka usijali endelea na mambo yako. Bora ungeweka hata OS pin code mkose wote. Jichange kamata ingine.
 
kama hukuweka mipassword mingi,anauwezo wa kupokea simu na kusoma sms?,na kama bado inaita nitumie namba yake tujaribu kitu..

Kama ulikuwepo vile!! Sina kawaida ya kuweka password kabisaa
 
hlf uniambie unahisi umeipotezea wapi,leo umezungukia sehemu zipi?!.
 
wachina wansema "hochaiwaa"!hii imekula kwako,jipange nununa galaxy 4 au 5 ss
 
kama hukuweka mipassword mingi,anauwezo wa kupokea simu na kusoma sms?,na kama bado inaita nitumie namba yake tujaribu kitu..

Pass ya kitu gani..pin code haiwez fanya hayo manuva. labda kama aliset na kucomfigure GPS,kama WI-FI ipo on anweza ona location ya simu yake kupitia googe map. Miminatuma galaxy N7000..nikiiacha kwenye gari au ofisin naweza acess location kupita simu ingine kwa GPS hadi mitaa na sehemu ilipo satellite map HD.
 
Back
Top Bottom