Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

pole sana, najua ni kipindi kigumu kwako, wote sisi ni wasafiri katika dunia hii. Mungu akutie nguvu.
 
pole sana Mungu akupeni nguvu na faraja wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu na ailaze mahala pema roho ya mama yetu mpendwa
 
Pole sana Mkuu Pdidy.
Ni kweli ipo furaha kuwa na mama.
Lakini kuna huzuni kubwa sana kuondokewa na mama ilhali ukiwa na uhakika kuwa hatarudi tena.
Mungu awap faraja kamilifu.
 
Ni kweli kwamba mama ni mtu muhimu...hata miye nilimpoteza 1999......POLE PDIDY MUNGU AKUPE FARAJA
 
Pole ndugu yangu.wote tunakwenda huko huko.Mwenzio kamaliza safari,ila hatujui kamalizaje.Wewe jitahidi umalize vizuri.
Dear wapendwa
nimempoteza mama yangu kipenzi usiku huu
naomba maombi yenu
more inf to mex
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom