Nimepoteza hela tena Mbele ya Yanga

Nimepoteza hela tena Mbele ya Yanga

On a serious note unategemea betting kama chanzo cha Mapato? Wenzetu walioendelea na kustaarabika betting ni kama starehe tu, wanaifanya for leisure! Wahindi wanatupuna sana hela zetu wabongo kwa upumbavu wetu, unaweka 500 unataka ushinde 5m?
 
Kama ile mechi ya jana wangekuwa wanachezesha marefa wa bongo.

Basi UTO asingekosa hata goli la penalt au wapinzani wao kupewa red card ili mambo yawe rahisi upande wa jangwani.
 
Kabisa unaweka hela Kwa hao washambuliaji butu...

Wamekosa maarifa
 
Kila siku "nimepoteza hela yangu" kwani umeshikiwa bunduki ubeti? Mijitu mingine akili hamna
 
Kila siku "nimepoteza hela yangu" kwani umeshikiwa bunduki ubeti? Mijitu mingine akili hamna
Umaskini na tamaa ya kutaka hela ya haraka haraka kwa ajili ya kupatia mlo
 
Back
Top Bottom