Nimepoteza hamu ya kufanya mapenzi. Ushauri wako tafadhali

Mie naamini ngono siyo kwa ajili ya kila mtu hapa duniani, fanya mambo mengine tu mkuu.
mwanaume kamili lazima

asimamishe asubuhi

awe na hisia za mapenzi

afanye mapenzi

*akiona ke mwenye tackle ageuke*

I hope fellow real men understand me
 
Kula tangawiI, mihogo, karanga mbichi, asali, tende, tikiti nyege zitarudi
 
Punguza mawazo mkuu, ukilala vizuri 8+ hours na kula virutubisho sahihi ndani ya week tu hali itakaa sawa. Stay home na hakikisha una mtoto mzuri karibu wa kuamsha hisia awe na tako laini tu.

Usipopata nyegex na hapo tena ujue unae Tezi dume bablai
 
Mkuu hii inaonyesha umefeli sana kwenye relationship, na sio kuwa umekata tamaa bali ni uwoga na hofu vimekujaa.
Ushauri wangu hamia kwenye other types of ship, kama vile praiseship and worship hutojuta
jf bwana
 
Mkuu jitahidi kulala kwa muda unao shauriwa na wataalamu, kula vyakula vyenye madini ya zinc,kula matikiti maji,ndizi, parachichi, almonds,tende,mtindi,mchanganyiko wa asali na mdalasini.Ikigoma bado rudi hapa tukushauri supplements za kutumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunguza account yako Ina sh. Ngapi. Maana hamu na kujiamini kwamwanaume ndo nguvu za kiume Ila hivi vyote vipo kwenye noti. Kama account yako inasima haha hiyo hamu inatoka wapi?
 
Swali : wakukupa iyo hamu yupo au ndio unategemea imaginationšŸ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦