emmanuellaizer
Member
- Jul 11, 2015
- 7
- 1
Siku izi unabadilisha IMEI namba
Ngoja siku ununue simu iliyoporwa kwenye tukio la ujambazi na mwenyewe ameuawa ndio utajua kachumbari ni mboga au chachandu!jisifie ujinga tuMmh na ninavopenda simu za uwizi c aje 2 aniuzie mm uyo kibaka
kiherehere chake kufungua kiooUsiseme hivyo, ni kama ajali........si zote ni uzembe
thank you so muchpole sana uwe unafunga vioo vya gari hiyo simu kupata ni ngumu ikiwa na kila kitu wameshaformat
kiherehere tena? Sometimes Before you speak if your words are better than your silence mkuukiherehere chake kufungua kioo
thank you mkuuWanasema hapa kazi tu!pole hiyo basi tena
ts true, we learn from mistakesPole sana.
Matumizi ya simu wakati unaendesha hayafai.
Moral:
Don't drive while Smsing....
Ulikuwa unaendesha gari gani? Manake si magari yote vibaka huyasogelea ili waibe.
Pole sana mkuu... siku nyingine uwe una pandisha vioo na kulock milango.... Vibaka wana hali mbaya kwa sasa wanakwapua kila kitu... hasa kwa wamama.
Nakutakia usakaji mwema wa simu yako na namtakia heri atakayeipata asisahau kunigawiamo hako kazawadi.
unataka kujua gari ili kwani we ndo kibaka ,mpaka utake kujua aina ya gari ili um pm urejeshe simu u vipiMoral:
Don't drive while Smsing....
Ulikuwa unaendesha gari gani? Manake si magari yote vibaka huyasogelea ili waibe.
Pole sana mkuu... siku nyingine uwe una pandisha vioo na kulock milango.... Vibaka wana hali mbaya kwa sasa wanakwapua kila kitu... hasa kwa wamama.
Nakutakia usakaji mwema wa simu yako na namtakia heri atakayeipata asisahau kunigawiamo hako kazawadi.
Tulia wewe. Niko kikazi zaidi....unataka kujua gari ili kwani we ndo kibaka ,mpaka utake kujua aina ya gari ili um pm urejeshe simu u vipi
Pole sana. Next time jitahidi ununue Prado lenye rangi ya chama tawala.... vibaka hawatalisogelea.thank you, Ni gari ya kawaida-Saloon Black Metallic
Usiseme hivyo, ni kama ajali........si zote ni uzembe
HAHAHA HAYATulia wewe. Niko kikazi zaidi....
thank you, Ni gari ya kawaida-Saloon Black Metallic
unataka kujua gari ili kwani we ndo kibaka ,mpaka utake kujua aina ya gari ili um pm urejeshe simu u vipi
Pole sana. Next time jitahidi ununue Prado lenye rangi ya chama tawala.... vibaka hawatalisogelea.
kuibiwa simu ni kukabwa tu sasa wewe unadrive then unachat ukaona bado ukafungua kioo yaan mwizi asingechukua bas trafic angekuja kukukamata tu uzembe mtupu huuuuuuuuge stupidity in triumps voicekiherehere tena? Sometimes Before you speak if your words are better than your silence mkuu