Habari za asubuhi kaka na dada zangu,
18/1/2016 jana jioni nikiwa katika foleni ya kurudi nyumbani maeneo ya makumbusho kibaka kupitia dirisha la gari alidokoa simu yangu techno h6.
Thamani ya simu ni 200,000 lakini nilivyoweka humo ndiyo vya thamani zaidi. Tafadhali kaka zangu na dada zangu wa makumbusho kama utauziwa simu hiyo leo asubuhi naomba uniambie nitakurudishia pesa yako na gharama zingine ukizihitaji.
Mazingira ya udokozi: Wakati nadrive nilikuwa nimeshusha kioo cha gari, ghafla bin vuu! mkono ukashika simu kwa nguvu tena naandika sms chini ya usukani, nashukuru sikugonga gari iliyokuwa mbele, but nimeumia sana. Kwasababu simu hiyo ina mengi.